Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Wee wa jangwa lipi hao wana inji.......kwa putin kuna mito ya pombe na asaliWananchi wanalia njaa Putin anawafunga mahabusi, vita wameichoka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee wa jangwa lipi hao wana inji.......kwa putin kuna mito ya pombe na asaliWananchi wanalia njaa Putin anawafunga mahabusi, vita wameichoka
Mkuu , Hawa watu wamechagua vita against maisha ya watu, sikwamba wanapendwa ila ni ukinyanyua mdogo umekwenda na maji.Wananchi wanalia njaa Putin anawafunga mahabusi, vita wameichoka
Haya ni malipo kwa waislamu hao wengine wataenda kuimba huko ndio malipo ya Mungu waoWee wa jangwa lipi hao wana inji.......kwa putin kuna mito ya pombe na asali
Lazima umuweke kafiri unaemkubali....inabidi ukaibandike hata masjid huyo ndo godfather wenuPicha inakutesa ? Tuna msaidia huyo anateseka na Ukraine
Malipo wakati mmeanza kutumalizia kitimoto na pombe kabla hamjaenda huko ahera inakuaje sasaHaya ni malipo kwa waislamu hao wengine wataenda kuimba huko ndio malipo ya Mungu wao
Putin anajuta kuanzisha vita, maana Ukraine ameonyesha uimara mkubwaMkuu , Hawa watu wamechagua vita against maisha ya watu, sikwamba wanapendwa ila ni ukinyanyua mdogo umekwenda na maji.
Kiduku ndio kabisa.
Kitimoto hawezi kwisha wewe kula tu, tumbo si lako?Malipo wakati mmeanza kutumalizia kitimoto na pombe kabla hamjaenda huko ahera inakuaje sasa
Vita kwa mrusi ni kama mchezo wa simba na yanga....shida ni kwa wale hadi wanabandika mabango mitaani na matangazo kibao youtube yakuonewa huruma,,,huku vidume hawana hizoPutin anajuta kuanzisha vita, maana Ukraine ameonyesha uimara mkubwa
Nyie si mmeahidiwa peponi mbona mnaanza kutumalizia huku kwetuKitimoto hawezi kwisha wewe kula tu, tumbo si lako?
Watu wanakufa huko mpaka yule jamaa akataka kumkamata Shoigu wewe unaleta maneno ya mitaani , Urusi ana hali mbaya kila mkwara watu wanaupiga chiniVita kwa mrusi ni kama mchezo wa simba na yanga....shida ni kwa wale hadi wanabandika mabango mitaani na matangazo kibao youtube yakuonewa huruma,,,huku vidume hawana hizo
Peponi ni habari nyingine huku ni mfano tuNyie si mmeahidiwa peponi mbona mnaanza kutumalizia huku kwetu
Sa inakuaje tuna enjoy kitimoto zaidi mwezi wa ramadhani kuliko mwezi ambao hauna mfungo bwana kobazi..........hao wote makafiri mwisho wa siku wataelewana na watagawana tena waarabu wa kuwatawalaWatu wanakufa huko mpaka yule jamaa akataka kumkamata Shoigu wewe unaleta maneno ya mitaani , Urusi ana hali mbaya kila mkwara watu wanaupiga chini
Kwahio kitimoto ni tamu sana eeh,,,kule peponi ladha itaongezeka?Peponi ni habari nyingine huku ni mfano tu
Peponi kuna masharti yake kijana hujui kitu, ni vyema ukajipange kumuimba Bwana milele na milele ndio malipo yakoKwahio kitimoto ni tamu sana eeh,,,kule peponi ladha itaongezeka?
Putin anaweka red line yule Zelensky anapiga sasa hivi anabweka tu kila sikuSa inakuaje tuna enjoy kitimoto zaidi mwezi wa ramadhani kuliko mwezi ambao hauna mfungo bwana kobazi..........hao wote makafiri mwisho wa siku wataelewana na watagawana tena waarabu wa kuwatawala
Putin anaweka red line yule Zelensky anapiga sasa hivi anabweka tu kila siku
Dah, kweli mwarabu alituletea kobasi na suruali fupi.Waislamu ndio wakufaidi zile rahaaa, nyie wengine si mmechagua kuimba imba huko mbinguni, endelea kujichelewesha
Ulitaka akuletee magita ili ukaimbe imbe huko kwa Mungu wako mbinguni?Dah, kweli mwarabu alituletea kobasi na suruali fupi.
Mwili wa peponi hauna maradhi wala magonjwa ni kuponda rahaaaa tu, acha wivu , andaa koo kamuaimbie Mungu wako ndio pepo yako hiyoKwahio kitimoto ni tamu sana eeh,,,kule peponi ladha itaongezeka?