ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Tulia ubondwe na Zelensky wewe tutakupa Drone ujitetea hujiweziZelensky je si anawapa motisha hadi mna copy and paste,,,, mnajifanya mnamchukia myahudi kumbe bado ni role model wenu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia ubondwe na Zelensky wewe tutakupa Drone ujitetea hujiweziZelensky je si anawapa motisha hadi mna copy and paste,,,, mnajifanya mnamchukia myahudi kumbe bado ni role model wenu
Hapo tizi tu mlenngwa kobazi......huoni hadi kaanza kua na mahaba niue kwa myahudi huku upande wa pili anamtandikaZelensky anachapa baba yako Putin , tulia waislamu wamsaidie baba yako
Tulia umpende vizuri myahudi utolewe kafara kama walivyomtoa YesuTulia ubondwe na Zelensky wewe tutakupa Drone ujitetea hujiwezi
Myahudi anateseka kule kila siku anatishia ana ingia mitini, yule ndio Iran mtoa misaada kwa PutinHapo tizi tu mlenngwa kobazi......huoni hadi kaanza kua na mahaba niue kwa myahudi huku upande wa pili anamtandika
Kafara ametoa Putin , Wairan ndio muokozi wake na N koreaTulia umpende vizuri myahudi utolewe kafara kama walivyomtoa Yesu
Weee Zelensky vipi sasa humpendi huyo Yahudi mwenye mbinu za masta wake Netanyahu mnae muigilizia??Myahudi anateseka kule kila siku anatishia ana ingia mitini, yule ndio Iran mtoa misaada kwa Putin
Iran hasaidii, anapigana sema anaogopa kwenda sebuleni moja kwa moja.Tulia Iran asaidie wasio na uwezo
Waliowahi kuogelea kwenye mito ya pombe wameshabatizwa kama Yesu shida hawawezi kufufuka ndani ya siku 3 hao ndo milele..............dah Yahudi kama mkinga asee kafala kila konaKafara ametoa Putin , Wairan ndio muokozi wake na N korea
Hakuna anaeweza fufuka hizo stori, ndio maana wayahudi hawataki hizo porojo wakati wao ndio waandishi wa biblia , Mabikira tutapata na maadui wengi kuwauwa ni jambo la msingiWaliowahi kuogelea kwenye mito ya pombe wameshabatizwa kama Yesu shida hawawezi kufufuka ndani ya siku 3 hao ndo milele..............dah Yahudi kama mkinga asee kafala kila kona
Israel inapigwa na vikundi vya watu wachache tu pale Hamas,Hizbollah na Houth acha kuchanganya madawaIran hasaidii, anapigana sema anaogopa kwenda sebuleni moja kwa moja.
Israel inapigwa na :
1. Korea Kaskazini.
2. Urusi
3. Ufaransa.
4. Lebanon.
5. Syria.
6. Ufaransa/ Macron
7. Syria.
Sasa hizo nchi zinaogopa kwenda front.
si zina nyuklia, kwanini wasikalipue ka israel kanchi kadogo sawa na Mbagala.
Zelensky ni raia wa Ukraine anatetea nchi yake dhidi ya mvamizi Putin, na balaaa unaliona Putin kawa omba omba wa SilahaWeee Zelensky vipi sasa humpendi huyo Yahudi mwenye mbinu za masta wake Netanyahu mnae muigilizia??
Iran iko salama ajaribu kurusha hata jiwe, huo mfumo wa THAAD aliopewa kwa mkopo na US utapata tabu sanaaaaTulia umpende vizuri myahudi utolewe kafara kama walivyomtoa Yesu
Dunia nzima makafiri yanampiga mtu mmoja na hayawezi wakishirikiana umoja wa mataifa.Israel inapigwa na vikundi vya watu wachache tu pale Hamas,Hizbollah na Houth acha kuchanganya madawa
Sasa Myahudi Zelensky itakuaje mnataka na role model wenu aende na maji kweli?? Myahudi wa Ukraine kakaa mda mrefu zaidi kipindi cha vita kuliko hata viongozi wa Hamas na Hezbollah...yani kapicha hata hakajachangamka steringi kalipuliwa na kapete kake ka majiniHakuna anaeweza fufuka hizo stori, ndio maana wayahudi hawataki hizo porojo wakati wao ndio waandishi wa biblia , Mabikira tutapata na maadui wengi kuwauwa ni jambo la msingi
achana na porojo vita iliopo sasa ni kati ya Israel na vikundi vinavyo ungwa mkono na Iran ambavyo ni Hamas, Hizbollah na Houth, acha kuingiza watu wasio kuwepoDunia nzima makafiri yanampiga mtu mmoja na hayawezi wakishirikiana umoja wa mataifa.
Yule aliemalizwa aliporudi kulala alikua analindwa na mfumo gani yakhee??Iran iko salama ajaribu kurusha hata jiwe, huo mfumo wa THAAD aliopewa kwa mkopo na US utapata tabu sanaaaa
Myahudi kwani hayupo?? Kama islam ni dugu moya sasa hata yahudi si dugu moya pia??achana na porojo vita iliopo sasa ni kati ya Israel na vikundi vinavyo ungwa mkono na Iran ambavyo ni Hamas, Hizbollah na Houth, acha kuingiza watu wasio kuwepo
Yule ni Raia wa Ukraine sio Israel Kwahiyo kwasasa yuko pale kumpasua babu Putin ili nchi yake ya Ukraine na raia wa Ukraine wawe salama sio IsraelSasa Myahudi Zelensky itakuaje mnataka na role model wenu aende na maji kweli?? Myahudi wa Ukraine kakaa mda mrefu zaidi kipindi cha vita kuliko hata viongozi wa Hamas na Hezbollah...yani kapicha hata hakajachangamka steringi kalipuliwa na kapete kake ka majini
Ila ni myahudi na mkamuiga.......asee hamna jipya kobazi yaani hadi vita lazima yahudi awape muongozo kwanza......ndo maana mtatawaliwa milele na yahudi na makafiri wengineZelensky ni raia wa Ukraine anatetea nchi yake dhidi ya mvamizi Putin, na balaaa unaliona Putin kawa omba omba wa Silaha
Zelensky mkristo wa Orthodox , yeye hausiki na wale waliosema Yesu ni muhaini wakamtundika kama Mzoga, kazi yake ni kumpasua PutinMyahudi kwani hayupo?? Kama islam ni dugu moya sasa hata yahudi si dugu moya pia??