Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Zelensky je si anawapa motisha hadi mna copy and paste,,,, mnajifanya mnamchukia myahudi kumbe bado ni role model wenu
Tulia ubondwe na Zelensky wewe tutakupa Drone ujitetea hujiwezi
 
Zelensky anachapa baba yako Putin , tulia waislamu wamsaidie baba yako
Hapo tizi tu mlenngwa kobazi......huoni hadi kaanza kua na mahaba niue kwa myahudi huku upande wa pili anamtandika
 
Myahudi anateseka kule kila siku anatishia ana ingia mitini, yule ndio Iran mtoa misaada kwa Putin
 
Weee Zelensky vipi sasa humpendi huyo Yahudi mwenye mbinu za masta wake Netanyahu mnae muigilizia??
 
Tulia Iran asaidie wasio na uwezo
Iran hasaidii, anapigana sema anaogopa kwenda sebuleni moja kwa moja.

Israel inapigwa na :
1. Korea Kaskazini.
2. Urusi
3. Ufaransa.
4. Lebanon.
5. Syria.
6. Ufaransa/ Macron
7. Syria.
Sasa hizo nchi zinaogopa kwenda front.
si zina nyuklia, kwanini wasikalipue ka israel kanchi kadogo sawa na Mbagala.
 
Kafara ametoa Putin , Wairan ndio muokozi wake na N korea
Waliowahi kuogelea kwenye mito ya pombe wameshabatizwa kama Yesu shida hawawezi kufufuka ndani ya siku 3 hao ndo milele..............dah Yahudi kama mkinga asee kafala kila kona
 
Hakuna anaeweza fufuka hizo stori, ndio maana wayahudi hawataki hizo porojo wakati wao ndio waandishi wa biblia , Mabikira tutapata na maadui wengi kuwauwa ni jambo la msingi
 
Iran hasaidii, anapigana sema anaogopa kwenda sebuleni moja kwa moja.

Israel inapigwa na :
1. Korea Kaskazini.
2. Urusi
3. Ufaransa.
4. Lebanon.
5. Syria.
6. Ufaransa/ Macron
7. Syria.
Sasa hizo nchi zinaogopa kwenda front.
si zina nyuklia, kwanini wasikalipue ka israel kanchi kadogo sawa na Mbagala.
Israel inapigwa na vikundi vya watu wachache tu pale Hamas,Hizbollah na Houth acha kuchanganya madawa
 
Weee Zelensky vipi sasa humpendi huyo Yahudi mwenye mbinu za masta wake Netanyahu mnae muigilizia??
Zelensky ni raia wa Ukraine anatetea nchi yake dhidi ya mvamizi Putin, na balaaa unaliona Putin kawa omba omba wa Silaha
 
Hakuna anaeweza fufuka hizo stori, ndio maana wayahudi hawataki hizo porojo wakati wao ndio waandishi wa biblia , Mabikira tutapata na maadui wengi kuwauwa ni jambo la msingi
Sasa Myahudi Zelensky itakuaje mnataka na role model wenu aende na maji kweli?? Myahudi wa Ukraine kakaa mda mrefu zaidi kipindi cha vita kuliko hata viongozi wa Hamas na Hezbollah...yani kapicha hata hakajachangamka steringi kalipuliwa na kapete kake ka majini
 
Dunia nzima makafiri yanampiga mtu mmoja na hayawezi wakishirikiana umoja wa mataifa.
achana na porojo vita iliopo sasa ni kati ya Israel na vikundi vinavyo ungwa mkono na Iran ambavyo ni Hamas, Hizbollah na Houth, acha kuingiza watu wasio kuwepo
 
Iran iko salama ajaribu kurusha hata jiwe, huo mfumo wa THAAD aliopewa kwa mkopo na US utapata tabu sanaaaa
Yule aliemalizwa aliporudi kulala alikua analindwa na mfumo gani yakhee??
 
achana na porojo vita iliopo sasa ni kati ya Israel na vikundi vinavyo ungwa mkono na Iran ambavyo ni Hamas, Hizbollah na Houth, acha kuingiza watu wasio kuwepo
Myahudi kwani hayupo?? Kama islam ni dugu moya sasa hata yahudi si dugu moya pia??
 
Sasa Myahudi Zelensky itakuaje mnataka na role model wenu aende na maji kweli?? Myahudi wa Ukraine kakaa mda mrefu zaidi kipindi cha vita kuliko hata viongozi wa Hamas na Hezbollah...yani kapicha hata hakajachangamka steringi kalipuliwa na kapete kake ka majini
Yule ni Raia wa Ukraine sio Israel Kwahiyo kwasasa yuko pale kumpasua babu Putin ili nchi yake ya Ukraine na raia wa Ukraine wawe salama sio Israel
 
Zelensky ni raia wa Ukraine anatetea nchi yake dhidi ya mvamizi Putin, na balaaa unaliona Putin kawa omba omba wa Silaha
Ila ni myahudi na mkamuiga.......asee hamna jipya kobazi yaani hadi vita lazima yahudi awape muongozo kwanza......ndo maana mtatawaliwa milele na yahudi na makafiri wengine
 
Myahudi kwani hayupo?? Kama islam ni dugu moya sasa hata yahudi si dugu moya pia??
Zelensky mkristo wa Orthodox , yeye hausiki na wale waliosema Yesu ni muhaini wakamtundika kama Mzoga, kazi yake ni kumpasua Putin
 
Back
Top Bottom