Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Hata weye si mmatumbi wa buza ila dugu yako ni ayatollah......ni kama Zelensky tu dugu yake ni Yahudi ya Netaland na wao ni dugu moya katika mapambanoYule ni Raia wa Ukraine sio Israel Kwahiyo kwasasa yuko pale kumpasua babu Putin ili nchi yake ya Ukraine na raia wa Ukraine wawe salama sio Israel