Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.

Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22 ni raia au wapiganaji wa Hezbollah.

Kuuawa kwa kamanda wa Hezbollah kunafuatia shambulio la drone la Hezbollah kwa Israel ambalo liliua askari wanne, kujeruhi vibaya 7 na kuwapa majeraha madogo askari wengine 61 wa Israel.

Red Cross nchini Lebanon, wamesema kuwa kwa sasa nchini Lebanon hakuna eneo lililo salama.
=======================

Israel kills commander of elite anti-tank missile unit​

Israel has killed the commander of the anti-tank missile unit of Hezbollah's elite Radwan Force, its military has said.
Muhammad Kamel Naim was killed in a strike in the Nabatieh area of south Lebanon, it added.

1h ago18:57

Number killed rises to 21 in Israel's first strike on northern Lebanon​

The number of people killed in an Israeli airstrike on an apartment building in northern Lebanon has risen to 21, according to the Lebanese Red Cross.
There was no immediate comment from the Israeli military and it was not clear what the target was.

Tuombe hekima ya Mungu iwaguse watu wote ili ugaidi ukome, vita vikome, umoja na upendo vitawale, ili watu waishi kwa amani, kama Kristo alivyosema, "Amani Iwe Kwenu"
Ritz hii hali mbona sielewi?
 
Wazayuni wakifutwa hutasikia ugaidi tena duniani
Kule Pakistan magaidi yanakojilipua kuna Wazayuni?

Yale magaidi yaliyolipua kule Iran wakati watu wakielekea kaburini, ni kwa sababu ya wazayuni? Ufahamu kuwa nchi za kiarabu ndiyo zinazoongoza kwa watu wake kuuana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kama walimfanyia Yesu unyama ule hawa wakina Ashabab na boko haram ni madogo
Kabisaa.....sema hawa wa alshabab hakuna hata nabii aliewaongelea zaidi ya mizimu ya wakina habibi kufosi kingi
 
hata shetani ni zao la Mungu pia
Kabisaa basi acha Mungu afanye yake,,,,Mungu hapiganiwi ila anapigana yeye mwenyewe kama tunayojionea sasa.....maana watu wanaleta udini wanasahau huyo mrusi wanaetaka awakumbatie nae ni mla kitimoto ,,,,ukija kwa mchina ndo kwanza hataki kusikia habari za kobazi nchini kwake wale Uighurs anawanyoosha..........hii kweli ukikaa nchale ukisimama nchale
 
Kabisaa.....sema hawa wa alshabab hakuna hata nabii aliewaongelea zaidi ya mizimu ya wakina habibi kufosi kingi
sasa Yesu kaongea wamemtundika , sasa kuna haja gani ya kuongelewa ?
 
sasa Yesu kaongea wamemtundika , sasa kuna haja gani ya kuongelewa ?
Angekua anaogopa hilo angesepa fasta kwa wayahudi mbona alilijua hilo tokea anazaliwa,,tofauti na wale ambao wameahidiwa mito ya pombe na mabikira 72 ila wakitaka wapelekwe huko wanaanza kutoka nduki hadi kuanza kuvaa nguo za wanawake
 
Kabisaa basi acha Mungu afanye yake,,,,Mungu hapiganiwi ila anapigana yeye mwenyewe kama tunayojionea sasa.....maana watu wanaleta udini wanasahau huyo mrusi wanaetaka awakumbatie nae ni mla kitimoto ,,,,ukija kwa mchina ndo kwanza hataki kusikia habari za kobazi nchini kwake wale Uighurs anawanyoosha..........hii kweli ukikaa nchale ukisimama nchale
Mungu anapiganiwa na kupigana, vyote vinafanyika ndio maana aliwatuma watu kuua watu wengine, MCHINA ndivyo alivyo ndio maana hapa Duniani ni miongoni mwa nchi ambazo kiongozi wa katoliki wanachagua serikali sio PAPA, mchina serikali kwanza pale mpaka yule PAPA katulia anatii serikali
 
Angekua anaogopa hilo angesepa fasta kwa wayahudi mbona alilijua hilo tokea anazaliwa,,tofauti na wale ambao wameahidiwa mito ya pombe na mabikira 72 ila wakitaka wapelekwe huko wanaanza kutoka nduki hadi kuanza kuvaa nguo za wanawake
Sasa anasepa vip wakati katumwa kazi??lazima afanye kazi hata kama wayahudi watamuua, na wote wakamtundika kweli mchana kweupeee, Mwanaume mabikira 72 wachache wewe hujaona Mfalme Selemani alikuwa na wanawake 700
 
Sasa mbona huyo wa hamas alikua anaogopa kukutanishwa na hao mabikra 72 hadi akaanza kuvaa mavazi ya mama zake?? Alikua anaogopa kwenda kuchil na allah au??
 
Sasa mbona huyo wa hamas alikua anaogopa kukutanishwa na hao mabikra 72 hadi akaanza kuvaa mavazi ya mama zake?? Alikua anaogopa kwenda kuchil na allah au??
Mbinu za kijeshi hata Nyerere alivaa alipokuwa anapigania uhuru, unavaa lolote ndio ukomandoo
 
Wayahudi walishaua mtoto wa Mungu kama Paka hawa sio powah aiseee, ukiwataja ukumbuke hilo, ndio mbona hata wasabato hawali kitimoto lakini ni wakristo tu saaafi
Kabisaa kawaida hio alama ya upendo wa hali ya juu toka kwa Mungu kumtoa mwanae wa pekee auliwe kwa ajili ya ukombozi wa wengine,,,,sio mungu wa wale anaetoa kafara watoto wa wengine huku wakwake wakijifunika na nguo za kike kuogopa kutolewa kafara na allah
 
Mabikira wapo ila ni lazima uwamalize maadui wengi zaidi , ndio maana watu wanatumia mbinu kuwa hai ili kuuwa maadui wengi zaidi
Kwahio usipokua hai na mungu wako atakosa nguvu??? Hapo anaabudiwa mungu au binadamu
 
Kabisaa kawaida hio alama ya upendo wa hali ya juu toka kwa Mungu kumtoa mwanae wa pekee auliwe kwa ajili ya ukombozi wa wengine,,,,sio mungu wa wale anaetoa kafara watoto wa wengine huku wakwake wakijifunika na nguo za kike kuogopa kutolewa kafara na allah
Mungu hampendi mwanae ndio maana akaachwa atundikwe, yaani mwanao unampenda kweli atundikwe kama ndafu? Mungu wetu ni muumbaji hakuna cha kukomboa wote ni viumbe wake ni amesha weka utaratibu ukifanya mema peponi ila ukifanya mabaya motoni, nimeshakwambia anatakiwa kuuwa maadui wengi hawezi kufa kiboya
 
Back
Top Bottom