Ausar
JF-Expert Member
- Mar 19, 2021
- 2,369
- 3,800
Hapo mashariki ya kati ipo naona watu wanajitahidi kujisifia nani kaua wasiokula kitimoto wengi kuliko wenzieKwani kuna sensa ya wasio kula kitimoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mashariki ya kati ipo naona watu wanajitahidi kujisifia nani kaua wasiokula kitimoto wengi kuliko wenzieKwani kuna sensa ya wasio kula kitimoto?
Vipondo vipo hata Ukraine kule, vita ni vitaSasa nyie ndo mpo karibu nao mbona sasa wanawashushia vipondo ndugu zao wa karibu maana hata bagalashia na wao wanavaa
Halafu wanamkubali Yesu,patamu hapo.....sasa allah anakaa upande gani hapo ,,maana hamli kitimoto na pia Yesu hamumkubali,,,,au nyie ni wasabato mnaomfata mudi??Huko walipo panatosha pia kwa upande wao wasabato , kitabu chao kinawafundisha kuwa kitimoto HARAMU
watu wanaua maadui awe anakula kitimoto au anakula panya, hilo tatizo lakeHapo mashariki ya kati ipo naona watu wanajitahidi kujisifia nani kaua wasiokula kitimoto wengi kuliko wenzie
Aaah kule ya wala kitimoto,,,uzuri mla kitimoto Putin anaweka heshima,,,,ila hii upande wapili ya wasiokula kitimoto tunajionea tu ze comedy showVipondo vipo hata Ukraine kule, vita ni vita
Wote wanamkubali Yesu ndio na wanapigana vizuri kabisaaaaHalafu wanamkubali Yesu,patamu hapo.....sasa allah anakaa upande gani hapo ,,maana hamli kitimoto na pia Yesu hamumkubali,,,,au nyie ni wasabato mnaomfata mudi??
Kwahio mnawategemea wala kitimoto pia wawapige taf hadi UN??watu wanaua maadui awe anakula kitimoto au anakula panya, hilo tatizo lake
Bwana asifiwe,,,........,,aposto kuna kobazi anatoa ushuhudaWote wanamkubali Yesu ndio na wanapigana vizuri kabisaaaa
Wote wanakula kitimoto kule Ukraine na wanapigana kama kawaida,kwahiyo ulaji hauna mantikiAaah kule ya wala kitimoto,,,uzuri mla kitimoto Putin anaweka heshima,,,,ila hii upande wapili ya wasiokula kitimoto tunajionea tu ze comedy show
Mantiki ipo,,,maana naona pale mashariki ya kati kuna wasiokula kitimoto wanamaind wala kitimoto kukaa upande wa wasiokula kitimoto wengineWote wanakula kitimoto kule Ukraine na wanapigana kama kawaida,kwahiyo ulaji hauna mantiki
Ndio wanaomba wote kwa jina la Yesu, kisha wanazichapa, Yesu haelewi hamjibu nani hapoBwana asifiwe,,,........,,aposto kuna kobazi anatoa ushuhuda
Kuna wengine hawali hata mchele sio kitimoto tu, ndio maana nikasema hamna mantikiMantiki ipo,,,maana naona pale mashariki ya kati kuna wasiokula kitimoto wanamaind wala kitimoto kukaa upande wa wasiokula kitimoto wengine
Hayo maneno ukichukua gundi halafu ukayapindua na kuyaungaunga unapata neno RwandaMuhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.
Wataelewa tu Israel soon,ila wasianze tu "Pray for Lebanon",.Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.
Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22 ni raia au wapiganaji wa Hezbollah.
Kuuawa kwa kamanda wa Hezbollah kunafuatia shambulio la drone la Hezbollah kwa Israel ambalo liliua askari wanne, kujeruhi vibaya 7 na kuwapa majeraha madogo askari wengine 61 wa Israel.
Red Cross nchini Lebanon, wamesema kuwa kwa sasa nchini Lebanon hakuna eneo lililo salama.
=======================
Israel kills commander of elite anti-tank missile unit
Israel has killed the commander of the anti-tank missile unit of Hezbollah's elite Radwan Force, its military has said.
Muhammad Kamel Naim was killed in a strike in the Nabatieh area of south Lebanon, it added.
1h ago18:57
Number killed rises to 21 in Israel's first strike on northern Lebanon
The number of people killed in an Israeli airstrike on an apartment building in northern Lebanon has risen to 21, according to the Lebanese Red Cross.
There was no immediate comment from the Israeli military and it was not clear what the target was.
Tuombe hekima ya Mungu iwaguse watu wote ili ugaidi ukome, vita vikome, umoja na upendo vitawale, ili watu waishi kwa amani, kama Kristo alivyosema, "Amani Iwe Kwenu"
HAIJALISHI NARUDIA TENA KWA MSISITIZO TUKO RADHI KUCHUKIWA, KUTEMEWA MATE, KUBAGULIWA, KUTUKANWA, KUDHARAULIWA, KUDHALILISHWA, KUTENGWA, KUPIGWA, KUFUNGWA, KUNYAPALIWA, KUNYONGWA, KUZOMEWA NA KUULIWA NA WAYAHUDI KWANI NI BARAKA KULIKO KUPENDWA NA KUKUBALIKA NA MIARABU KWANI NI LAANA.Ukristo mmepewa nyie kule ni Uyahudi kwa kwenda mbele, wao bado wanamsubili Masiha wao sio huyo wa wakristo
Mkuu wanakula kitimoto tena wanaruhusiwa tu ila usile hadharani kula kwa kujificha allah the arab god cant see youHalafu wanamkubali Yesu,patamu hapo.....sasa allah anakaa upande gani hapo ,,maana hamli kitimoto na pia Yesu hamumkubali,,,,au nyie ni wasabato mnaomfata mudi??
Sasa kwa wasiokula kitimoto nako anajibiwa nani??? Huko kwa wala kitimoto bwana Putin maombi yake yanajibiwa je huko kwenu pakojeNdio wanaomba wote kwa jina la Yesu, kisha wanazichapa, Yesu haelewi hamjibu nani hapo
Duh kwahio hadi sir godi wao anapigwa changa la machoMkuu wanakula kitimoto tena wanaruhusiwa tu ila usile hadharani kula kwa kujificha allah the arab god cant see you
Ila kama allah ananguvu mnaombaje mpigwe taf na mla kitimoto Putin na kafiri mwengine mchina?? Si mpambane tu kivyenu maana hao wote ni haramKuna wengine hawali hata mchele sio kitimoto tu, ndio maana nikasema hamna mantiki