Kamanda wa Iran ashukuru kwa kupata taarifa za kijasusi kutoka Israel!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Kamanda wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran, Hossein Salami:

Anasema Ana’s humurukwa maelfu ya hati walizozipata kuhusu vituo vya nyuklia vya Israeli, mashambulizi yetu sasa yatakuwa sahihi zaidi. Taarifa hizo zinasaidia katika juhudi za kuliangamiza taifa la Israel.

Pigo hili la kijasusi sio la kifo kwa kundi la Kizayuni, lakini linaashiria kwamba ushindi wa mwisho umekaribia ili kuifuta nchi ya Israel kwenye uso wa dunia.

“mytake” hizo ni ndoto za Mwendawazimu!!!

 
Zumaridi nenda kalime vitunguu acha kujifanya myahudi, hakuna myahudi mweusi wala wayahudi hawaaamini kristo
 
Iran maneno mengi na mikwara mingi kama mswahili tunataka vitendo
 
Huyu kamanda nimemkumbuka wakati wanatafuta mwili wa Ibrahim Rais aliyedondoka na helkopita kwenye milima ya Azbeijan. Alikuwa anatoka jasho kwenye milima haha haha ataliwa nae kichwa mda sio mrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…