Kamanda wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk na mwenzake Colonel Dmytro wakamatwa na majeshi ya Urusi

Kamanda wa kikosi cha Marine wa jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk na mwenzake Colonel Dmytro wakamatwa na majeshi ya Urusi

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha kama panya huko Mariupol.

Taarifa hizo za kukamatwa viongozi hao zimethibitishwa na chombo cha habari cha Ukraine, Pravda, baada ya kuwasiliana na wanajeshi wengine wa Ukraine waliojificha kama panya huko Mariupol.

Aisee wanajeshi wa Russia wanajua kushambulia vizuri, yaani viongozi wa kijeshi wa Ukraine wanaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama panya buku au digidigi, halafu wakipata chansi wanakimbia uwanja wa vita na kuwaacha makuruta
emoji1787.png
emoji23.png
emoji1787.png
emoji38.png

======

Screenshot_20220508-133301_Chrome.jpg
Screenshot_20220508-133615_Chrome.jpg
Screenshot_20220508-133654_Chrome.jpg
 
Kamanda wa kikosi cha Marine akiwa kwenye mahojiano na kituo cha TV Russia, asema Kyiv iliwadanganya kuwa waendelee kujificha, wasisalimu amri, kuna kikosi kinakuja kuwaokoa huko Mariupol. Kamanda anasema hakuna kikosi chochote cha majeshi ya Kyiv kilichotia mguu Mariupol kwa wajeda wa Russia.

Halafu ati Zelensky akampa title ya HERO huyu Kamanda kwa kujificha tu kwenye mashimo huko Mariupol🤣🤣😅😅😂

Huyu ataminywa pumbu atamkana mpaka mama yake,hata hayo mahojiano anayafanya huku AK-47 imewekwa kwenye kidogo,watamtumia kwa propaganda then anakula Shaba tu ya kichwa.
 
Kamanda wa kikosi cha Marine akiwa kwenye mahojiano na kituo cha TV Russia, asema Kyiv iliwadanganya kuwa waendelee kujificha, wasisalimu amri, kuna kikosi kinakuja kuwaokoa huko Mariupol. Kamanda anasema hakuna kikosi chochote cha majeshi ya Kyiv kilichotia mguu Mariupol kwa wajeda wa Russia.

Halafu ati Zelensky akampa title ya HERO huyu Kamanda kwa kujificha tu kwenye mashimo huko Mariupol[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji23]

Imedhibitishwa na Ukraine pia. Taarifa ni sahihi!
 
Ila warusi tuna mtihani mgumu sana maana tunapigana na west yote,, tutashinda kwa mbinde mno
... Umekuwa muungwana sana kiongozi. Pamoja na hayo kwa hakika hamtashinda. Ni habari mbaya sana kwenu ila ndio ukweli ambao siku zote ni mchungu.
 
Pole zako...

Habari hiyo imeletwa na chombo cha habari cha Ukraine kiitwacho Pavda

Kisha pia video ya mahojiano kati ya kamanda huyo aliyedakwa na TV ya Russia hii hapa chini.

Mwaka huu mtataga kwa presha🤣😆😁😄

Tehe tehe tehe..... Ety watage presha! Akha.
 
Back
Top Bottom