Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Kamanda (kiongozi anayeamuru na kutoa kamandi za kijeshi) wa kikosi cha Marine ktk jeshi la Ukraine Colonel Volodymyr Baraniuk pamoja na afisa mkuu wa kijeshi Colonel Dmytro Kormiankv wamedakwa na majeshi ya Russia walipokuwa viongozi hao wakitoroka toka kwenye kiwanda walipokuwa wamejificha kama panya huko Mariupol.
Taarifa hizo za kukamatwa viongozi hao zimethibitishwa na chombo cha habari cha Ukraine, Pravda, baada ya kuwasiliana na wanajeshi wengine wa Ukraine waliojificha kama panya huko Mariupol.
Aisee wanajeshi wa Russia wanajua kushambulia vizuri, yaani viongozi wa kijeshi wa Ukraine wanaishi kwa kujificha kwenye mahandaki kama panya buku au digidigi, halafu wakipata chansi wanakimbia uwanja wa vita na kuwaacha makuruta
======