Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote.

Watu wanamsifia kwamba huwa hana huruma, ana sifa za kuua watoto na wananchi wa kawaida kule Syria, na kweli hadi juzi tulishuhudia mizinga inapiga bembea za watoto na maeneo ya makazi uswazi kabisa.

Lakini naona ameanza kutoa matamko ya kulia lia kuhusu HIMARS zinavyotembeza kichapo kwa Warusi.

The commander of Russian forces in Ukraine says the situation in the southern city of Kherson is "difficult" and residents are to be evacuated.

AA136zzL.img

General Sergei Surovikin said Ukrainian troops using US Himars rockets were hitting the city's infrastructure and housing. He spoke on Russian state TV.

"The Russian army will above all ensure the safe evacuation of the population" of Kherson, he said.

Kherson was the first big city to fall to the Russians, back in February.

Ukrainian forces have been steadily retaking nearby territory for the past few weeks. They have pushed as far as 30km (19 miles) south along the Dnieper river (called Dnipro by Ukrainians), threatening to trap Russian troops.

"As a whole the situation in the special military operation zone can be described as tense," the general said.

In a video statement, the Russian-appointed governor of Kherson, Vladimir Saldo, confirmed that Kherson civilians on the right bank of the Dnieper, in the path of the Ukrainian advance, were being evacuated.
Kherson is the only Ukrainian regional capital to have been captured by the Russians.

The Kremlin now claims Kherson and three other Ukrainian regions to be part of Russia - a claim rejected internationally.

Gen Surovikin, who has a reputation for harsh methods, said Ukraine's Himars salvoes had damaged Kherson's Antonivsky Bridge and the Kakhovka hydroelectric dam, blocking traffic along those key arteries.

That had created supply problems for essential services, namely food deliveries, water and electricity, he said.

He also said the Ukrainians were launching constant attacks across a wide front - in the areas of Kupiansk and Lyman in the east and, in the south, on the Mykolaiv-Krivyi Rih front.

In Syria the general oversaw Russian bombing raids that inflicted heavy civilian casualties. He also commanded troops accused of human rights abuses in Chechnya.

MSN
 
Dah, watu wanakufa mnaleta habari zenu za u-team hapa!

Nilikuwa naamini kabisa kuwa urusi inapigwa sana, lakini ninaposikia mji mkuu unafikiwa na kupigwa napata tabu mno sasa ya kuelewa nini haswa kinaendelea.

Akili yangu inashindwa kukubali kuwa anayefikiwa mji mkuu yupo vizuri na salama maana ninachojua ni kuwa mji mkuu ndiyo ngome hivyo huwa na ulinzi zaidi. Naufananisha mji mkuu na uso wa bondia, ukiona bondia anapigika usoni ujue hayuko salama sana.

Sasa humu imekuwa si sehemu ya kupata uhalisia bali propaganda tu kama yanatuhusu vile!!
 
Dah, watu wanakufa mnaleta habari zenu za u-team hapa!
Nilikuwa naamini kabisa kuwa urusi inapigwa sana, lakini ninaposikia mji mkuu unafikiwa na kupigwa napata tabu mno sasa ya kuelewa nini haswa kinaendelea...

Huo mji mkuu mlijatibu kupeleka limsafara likafyekwa, makobaz mliingia mkenge kushabikia Urusi.
 
Dah, watu wanakufa mnaleta habari zenu za u-team hapa!
Nilikuwa naamini kabisa kuwa urusi inapigwa sana, lakini ninaposikia mji mkuu unafikiwa na kupigwa napata tabu mno sasa ya kuelewa nini haswa kinaendelea...
Hapo ndio ujue Tanzania tuna safari ndefu kufikia maendeleo.

Hata kwa ukweli ulioko dhahiri bado tunalazimisha iwe uongo ili tu kujidanganya mioyoni mwetu kuwa tatizo flani hatuna.
 
Kwa kichapo ambacho Warusi wamekua wakipokea, tumeshuhudia hadi timu humu JF walikua wameufyata kwa aibu, ila baada ya huyu jenerali kuteuliwa kuongoza mashambulizi, ghafla nimeona muamko mpya kote...
".. In Syria the general oversaw Russian bombing raids that inflicted heavy civilian casualties. He also commanded troops accused of human rights abuses in Chechnya."

Huyu General Sergei Surovikin atakuwa wakala wa ibilisi, siyo bure🙄
 
Kwenye hiyo habari nimeona kamanda anasema wakazi wa Kherson wanatakiwa kuondolewa maana jeshi la Ukraine linarusha makombora popote!
Naona Sasa Ukraine inawachukulia wakazi wa kherson kama warusi baada ya kupiga kura kujiunga Urusi hivyo inarusha tu mabomu hovyo!
 
Urusi na mnfananisha na mwizi alieyeenda kuiba kwenye nyumba ya mtu ambaye yupo ngangali. Bila kuja mwizi amepokea kichapo cha kutosha hadi mwizi yeye mwenyewe anaanza kuita mwizi mwizi ili kumgeuzia kibao mwenye nyumba.

Ni sawa na saizi urusi yeye kavamia nchi ya watu lakini kwa kichapo alicho pokea kutoka Ukraine yeye ndio ameanza kulalamika Ukraine ni magaidi.
 
Kwenye hiyo habari nimeona kamanda anasema wakazi wa Kherson wanatakiwa kuondolewa maana jeshi la Ukraine linarusha makombora popote!
Naona Sasa Ukraine inawachukulia wakazi wa kherson kama warusi baada ya kupiga kura kujiunga Urusi hivyo inarusha tu mabomu hovyo!
Elewa lugha" very difficult for both civilians and Russian soldiers".
 
Back
Top Bottom