kp kipanya44
JF-Expert Member
- Jun 23, 2022
- 12,971
- 15,248
Nimeangalia aljazeera.., kiukweli warusi wanatia huruma sana kwa mkong'oto anaotembzewa huko kheson..,hata wale wanaonekana kusalim amri inaonekana wako hoi kweli [emoji24]Sio tunahisi, tumeshuhudia tangu alipojaribu kuparamia Kyev mkajaza server za watu humu na hizi insha zenu, leo anahangaika kukusanya wanywa gongo wapigane.
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app