Kamanda wa kikosi cha Urusi nchini Ukraine asema hali ni tete katika jiji la Kherson

Elewa lugha" very difficult for both civilians and Russian soldiers".
So ndio,Kama unapiga tu mabomu bila targets ilimradi unashambulia Kherson Basi hapo Hali Ni Tata!Ndio Maana wanaevacuate civilians ili wabaki wajeda tu!
 
Kwa hiyo Ukraine anarusha makombora ndani ya Urusi, maana Kherson ni Urusi kwa sasa. Kwa kifupi urusi inapewa kipigo cha makombora na ukraine.Ila huyu kamanda anakubalije warusi wenzake wale kipondo mpaka inabidi wahamishwe kwani urusi haiwez kuzuia hayo makombora🙉🙉 si anasifika huyu kwa kutoa dozi👻👻
 
Ahhh wapi wacheni kujificha kwa kisingizio cha raia wakati huwa mnapiga mabomu kwenye chekechea.
Mabomu tunapiga chekechea za nchini Ukraine, hatuwezi kufanya hivo Kherson kwa sababu ile ni ardhi halali ya Urusi. Pale tutakuwa tunaua raia wetu
 
Mabomu tunapiga chekechea za nchini Ukraine, hatuwezi kufanya hivo Kherson kwa sababu ile ni ardhi halali ya Urusi. Pale tutakuwa tunaua raia wetu
Kwa hiyo Ukraine anarusha makombora ndani ya Urusi, maana Kherson ni Urusi kwa sasa. Kwa kifupi urusi inapewa kipigo cha makombora na ukraine.Ila huyu kamanda anakubalije warusi wenzake wale kipondo mpaka inabidi wahamishwe kwani urusi haiwez kuzuia hayo makombora🙉🙉 si anasifika huyu kwa kutoa dozi👻👻
 
Ngoja uone watu wapo kyiv we unaongelea Kherson? Kaa kwa kutulia ngoja tuhamishe raia tuwanyooshe vizuri
 
Mabomu tunapiga chekechea za nchini Ukraine, hatuwezi kufanya hivo Kherson kwa sababu ile ni ardhi halali ya Urusi. Pale tutakuwa tunaua raia wetu

Kherson huko mlisambaratisha nyumba za watu kwanza wana hasira sana wale.
 
Acha kupindisha ukweli hii ndio sababu.

Civilians have been told evacuate the Russian-controlled Ukrainian city of Kherson “as fast as possible” as Ukrainian forces surround the region.

Russian forces in Kherson have been driven back by 20-30 km in the last few weeks and are at risk of being pinned against the right or western bank of the Dnipro River.

“I ask you to take my words seriously and take them to mean: the fastest possible evacuation,” he said in a late night post on Telegram.

Hapa pia kamanda mpya mliyemmwagia misifa kibao anakiri kwamba wanajeshi wake wana hali ngumu Kherson

Elsewhere, the new Russian commander in Ukraine has given a rare acknowledgement of Vladimir Putin's troops being under pressure amid a sustained Ukrainian counteroffensive.

"The situation in the area of the 'Special Military Operation' can be described as tense," Sergei Surovikin, the Russian air force general now commanding Moscow’s invasion forces, told state-owned Rossiya 24.

Kherson ‘evacuated’ as Zelensky’s troops advance - Russia news
 
Tunatoa kwanza raia ili tuwashughulikie Ukraine kikatili kabisa. Stay tuned
Endelea kujipa Moyo wakati mpaka kamanda wenu mpya anakiri kwamba wana hali ngumu kwa kichapo wanachopokea huko Kherson

Elsewhere, the new Russian commander in Ukraine has given a rare acknowledgement of Vladimir Putin's troops being under pressure amid a sustained Ukrainian counteroffensive.

"The situation in the area of the 'Special Military Operation' can be described as tense," Sergei Surovikin, the Russian air force general now commanding Moscow’s invasion forces, told state-owned Rossiya 24.

Kherson ‘evacuated’ as Zelensky’s troops advance - Russia news
 
ukimwona pro ruski anatukana mwenyewe tuwe tunawaelewa jaman hawa watu vichwa vyao havipo sawa.
wanatakiwa tu msaada wa kisaikolojia juu ya hii fedha wako nayo.
 
Evacuation ni Kwa civilians,wanajeshi ni kuretreat!Hali Iko tense maana mabomu yanarushwa Hadi kwenye civilians bulidings ndio maana wanawaondoa raia Ili wabaki wajeda wanapambana!
Russia inawachukulia wananchi wa Kherson kama raia wa Russia ndio maana wanatoa from line of fire!
Ingekuwa tofauti wangetengeneza humanitarian corridor kama awali!
Tutaona in a week hali itakuwaje!
 
Wanajeshi wa Russia ndo kawaida yao kujificha kwenye makazi ya Raia wakidhani wataonewa huruma,this time kichapo kinawafata hukohuko ndo maana wanabebana wakikimbilia ndani ya RF[emoji23]
 
Wanajeshi wa Russia ndo kawaida yao kujificha kwenye makazi ya Raia wakidhani wataonewa huruma,this time kichapo kinawafata hukohuko ndo maana wanabebana wakikimbilia ndani ya RF[emoji23]
Wakati wajeda wa Ukraine wanajibanza kwenye mashule na kupelekewa moto huko huko mlilalama sana humu,oooh sijui war crimes NK!
Ila Russia yeye hataki raia wake wapya wa kherson wauwawe,ndio maana limetolewa agizo la kuwaondoa raia wote eneo la kherson lililoko kwenye hatari Ili wabaki wajeda!Subirini ndani ya wiki mtapata majibu!
 
Russia anashambulia mashule na kuua watoto wakati wajeda wake wakijificha kwenye makazi ya watu na kinu cha nyuklia wakiogopa kunyukwa na HIMARS. Alichobakiza Russia hivi sasa ni kurusha drones kwenye makazi ya watu lakini Vita vya ardhini vimeshamshinda ndio maana anachezea kichapo kwenye maeneo yote aliyotangaza eti ni ardhi ya Russia kuanzia Kherson, Luhansk, Zaporizhzhia na Donestsk.
 
Nyie mnaohisi kuwa Russia anapigwa kwenye hii vita endeleeni kujidanganya.. hizo media za west zinawalisha propaganda mpaka naona mmevimbilwa, tokea hii vita inaanza Putin alisema kuwa hataki kudhuru raia ila jeshi la Ukraine lilikuwa linatanguliza raia makusudi ili kudhoofisha Jeshi la Russia, Putin anasema anapigana na Serikali ya Ukraine ambao wameungana na NATO na US ambao ni maadui zake ili wasogee karibu na mipaka yake.. huyo General anachosema yuko sahihi kabisa tokea mwanzo Russia haikuwa inataka kushambulia raia wa Ukraine...

Wanachofanya Russia ni kuwatoa hao raia na kuwaleta Russia kwanza then mtaona jeshi la Ukraine linavyosambaratishwa.. vita pekee ambayo Ukraine wanashinda ni ya mtandaoni tu kwa sababu walionyuma yake ambao ni US wana controll hizo media.. kila page inayo support Russia mtandaoni inafungiwa au inafutwa kabisa,.. huyo Ukraine kama angekuwa anamuweza Russia raisi wao asingekuwa anaomba misaada marekani na EU apambane mwenyewe kama anaweza, Marekani wanampa silaha za kijeshi na pia wanajeshi wengi wa msaada na pia inatoa training kwa wanajeshi wake.. mnaozani kuwa Russia anashindwa hii vita mko mbali sana na uhalisia mnafuata propaganda tu... subirini muone
 
Sio tunahisi, tumeshuhudia tangu alipojaribu kuparamia Kyev mkajaza server za watu humu na hizi insha zenu, leo anahangaika kukusanya wanywa gongo wapigane.
 
Uwongo mtupu walahi!
Usichokijua wanajeshi wa ardhini ndio wwnaonyakua maeneo na si makombora, makombora hutoa msaada tu kwa wanajeshi wa ardhin
Russia kikosi cha ardhini kiko hoi.
Hata kwa kutumia makombora madogo ya nyuklia huwezi kuteka maeneo, unahitaji wanajeshi wa ardhin
 
Warusi hapa wanachofanya ni kurusha makombora katika miji ya watu ili kudhoofisha kasi ya mapambano kati ya majimbo aliyoyatwa urusi kutoka kwa Ukraine japo jeshi la Ukraine linapambana kulejesha maeneo yalichukuliwa na urusi kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…