Unaripoti kutokea eneo gani Netflix Mossad ?Safari hii Mtanyooka tu!!!!
Kazi nzuri IDFIDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa hapo awali kwa makamanda wa Shejaiya Jamil Wadia na Fahim Farhat.
Shambulizi hilo ulioendeshwa karibu na wanajeshi wa IDF katika mji wa Gaza, ulilenga kituo cha kamandi cha Hamas kinachotumika kupanga mashambulizi. Hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara ya raia. IDF na ISA zinathibitisha kujitolea kwao kuibomoa Hamas na kuilinda Israeli.
Samaki mfu wewe acha wakupeleke kwa mawimbi ya TV na facebook.Niko nyuma yako nakula tunda kimasihara husikii utamu huo?
Kosa la kihistoriaOctober 7 ,2023 imeleta madhara makubwa kuliko faida
October 7 ,2023 imeleta madhara makubwa kuliko faida
Naye lissu anatuhumiwa kwa uhaini 😂 kweli demokrasia sio Coca-Cola kwamba ni hiyo hiyo duniani kote.
Hawa makafir mazayuni yanazidi kuua viongozi vipenzi vyetu.Laana iwe kwao, insha'Allah.IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa hapo awali kwa makamanda wa Shejaiya Jamil Wadia na Fahim Farhat.
Shambulizi hilo ulioendeshwa karibu na wanajeshi wa IDF katika mji wa Gaza, ulilenga kituo cha kamandi cha Hamas kinachotumika kupanga mashambulizi. Hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara ya raia. IDF na ISA zinathibitisha kujitolea kwao kuibomoa Hamas na kuilinda Israeli.
Unataka kumuangamiza kwa rocket?Unaripoti kutokea eneo gani Netflix Mossad ?
Mm naunga mkono mana wanaenda peponi kupata raha walizoahidiwa na allah kama vile bikra 72 🔥Hawa makafir mazayuni yanazidi kuua viongozi vipenzi vyetu.Laana iwe kwao, insha'Allah.
Wivu sana.Mm naunga mkono mana wanaenda peponi kupata raha walizoahidiwa na allah kama vile bikra 72 🔥
Mkuu, nitafutie shekhe nataka kubadili dini niwe muislamu
Inaonekan kama vile IDF wanatenganisha binadam na majini!Hawa makafir mazayuni yanazidi kuua viongozi vipenzi vyetu.Laana iwe kwao, insha'Allah.
Hawanyooshani ila kuna mmoja ndo anamnyoosha mwenzake