Kamanda wa kikosicka cha magaidi wa Hamas huko Shejaiya gaidi Haitham Sheikh Khalil, ameangamizwa bila huruma yoyote na IDF

Kamanda wa kikosicka cha magaidi wa Hamas huko Shejaiya gaidi Haitham Sheikh Khalil, ameangamizwa bila huruma yoyote na IDF

IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa hapo awali kwa makamanda wa Shejaiya Jamil Wadia na Fahim Farhat.

Shambulizi hilo ulioendeshwa karibu na wanajeshi wa IDF katika mji wa Gaza, ulilenga kituo cha kamandi cha Hamas kinachotumika kupanga mashambulizi. Hatua zilichukuliwa ili kupunguza madhara ya raia. IDF na ISA zinathibitisha kujitolea kwao kuibomoa Hamas na kuilinda Israeli.

View attachment 3299160
wasted👿
 
Huyu jamaa anakufa kila siku au huyu ni kiongozi mwingine? Kila siku naona nyuzi kiongozi wa Hamas kauliwa au kila mtaa huko gaza kuna kiongozi tofauti wa Hamas.
 
Huyu jamaa anakufa kila siku au huyu ni kiongozi mwingine? Kila siku naona nyuzi kiongozi wa Hamas kauliwa au kila mtaa huko gaza kuna kiongozi tofauti wa Hamas.
Safari hii Mtanyooka tu!!
 
Hawa makafir mazayuni yanazidi kuua viongozi vipenzi vyetu.Laana iwe kwao, insha'Allah.
Toka nizaliwe na sasa ni Mzee waarabu na waarabu-koko kila kukicha wanailaani Israel cha ajabu nchi hiyo bado inastawi tu na bado inaendelea kuwa nyoosha waarabu bila wasi wasi kila wanapojilengesha!
 
Back
Top Bottom