TANZIA Kamanda wa Polisi ACP Jonathan Shana afariki Dunia

Tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa???????????????
 
Bladifeiken.. poliCCM
 
Huyu chawa wa kijani ndio alikuwa anamtishia Mbowe,aendelee kupata mateso kuzimu.
 

Aliyekuwa Ofisa Mnadhimu wa Chuo cha Polisi Moshi (CCP), Jonathan Shana amefariki dunia asubuhi ya leo akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu.
 
Afande Shana alifariki miaka 6 iliyopita,iwaje utume leo tena??au amefariki mara ya pili??au alifufuka amekufa tena??acha ujinga
 
Sidhani kama hawa wanahitaji Tanzia, wakitwaliwa kama hivi ni Kushukuru tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…