SSEKK The Literally
JF-Expert Member
- Sep 5, 2023
- 1,134
- 1,905
Wewe umezaliwa Mwaka gani mzee 😅 mbona una akili za ajabu namna hii, au mtu anaetekwa ni lazima awe maarufu!? Dodoma hapa watu wamepotea sana na hadi kimya hatujui wako wapi aliewateka ni Makonda!? Haya wakat huo PCM hakuwa kwenye mfumo.Taja listi watu waliouwawa na wasiojulikana kipindi Bashite yupo benchi