Kamanda wa Polisi Katavi: Edgar Mwakabela (Sativa255) anasema alichukuliwa Dar hadi Arusha na kisha kutupwa Katavi

Taja listi watu waliouwawa na wasiojulikana kipindi Bashite yupo benchi
Wewe umezaliwa Mwaka gani mzee πŸ˜… mbona una akili za ajabu namna hii, au mtu anaetekwa ni lazima awe maarufu!? Dodoma hapa watu wamepotea sana na hadi kimya hatujui wako wapi aliewateka ni Makonda!? Haya wakat huo PCM hakuwa kwenye mfumo.
 
Duuuh Bora angetukana JF angepigwa ban km Lamomy kisha post yake ingefutwa mazima na ONYO Kali kutoka kwa Payge alafu basi Ila huko X hata Elon Musk haingilii umetukana mwenyewe na unaonyesha mpaka Sura πŸ˜‚ lazima wakulie Mingo wapite na Wewe
Roho mbaya umeanza kitambo wifi 😹😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…