PostGE2025 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe aendelea kuhamasisha vijana kudumisha utulivu na kutoa taarifa za uhalifu

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria

Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile kilichotokea Oktoba 29 hakikumfurahisha mtu yeyote, na kwamba bado kuna uhamasishaji unaoendelea mitandaoni; hivyo amewasihi waendelee kudumisha utulivu.

Ningemuuliza kujua polisi waliopiga risasi mtoe taarifa sio sisi
 
Waanze wao kutoa taarifa maiti za ndugu zetu walizika wapi?
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Mahamoud Banga, ameendelea kukutana na makundi ya vijana kuhamasisha utulivu na kuwataka waripoti wote wanaofanya uchochezi pamoja na wageni wanaoingia nchini kinyume cha sheria

Aidha, amewaeleza vijana hao kuwa kile kilichotokea Oktoba 29 hakikumfurahisha mtu yeyote, na kwamba bado kuna uhamasishaji unaoendelea mitandaoni; hivyo amewasihi waendelee kudumisha utulivu.

Awamu hii hawafanyi mazoezi barabarani kutisha watu tena?
 
Back
Top Bottom