Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooooh RIP Kamanda Zelothe Steven.View attachment 2793949
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma.
Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha
Dhambi ni kuwa mpinzani Bwashee,hv hukumbuki hata Chief Judge Agustino Ramadhan nae alikuwa mwanachama hai wa chama chakavu????Sijaelewa kada wa CCM kivipi wakati huyo alikuwa ni polisi?
Je polisi anaruhusiwa kuwa mwanachama wa Chama cha kisiasa?
Kila nafsi itaonja mauti la kuzingatia muda wako uliutumaje!View attachment 2793949
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma.
Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha
Kwa Tanzania yaaah ni wana kadi kabisaRIP. Kumbe police ni wana CCM
Ndio maana wakifa watu wanafurahi,nchi imejaa upuzi wa kila ainaSijaelewa kada wa CCM kivipi wakati huyo alikuwa ni polisi?
Je polisi anaruhusiwa kuwa mwanachama wa Chama cha kisiasa?
Eee. Hilo jeshi ni policcmRIP. Kumbe police ni wana CCM
Pale anapowaweka wanaosimamia wizi wa kura.Wote njia ni moja, Mungu amuweke sehemu aliyojichagulia akiwa hai.
Maafisa wa polisi wanaopaswa kutojihusisha na siasa ni makada wa ccm! Anyway, unafiki ni jadi yetu. Apumzike anapostahili, kama anastahili pumziko.TANZIA: Kada wa CCM na Afisa Mwandamizi wa juu zamani wa Jeshi la Polisi Zelothe Stephen amefariki dunia leo
Amefariki, hajastaafu. Sasa apumzike vipi au wapi?Apumzike Kwa Amani
Lemma ameanza, hata kama unataka ubunge, sio kwa staili hiiView attachment 2793949
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma.
Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha
Mkanda naanza kuunganidsha dotOoooh RIP Kamanda Zelothe Steven.
He was apractical man na alikuwa na akili ya kuzaliwa ku assess situations.
Mimi.namkumbuka in.1985, alikuwa Traffic, nzmi nilikuwa natakaka ku kupimwa zoezi la kupewa leseni.
Traffic wengine walipodikia jina langu waksogopa.
Yeye akafika psle asksri wenziwe wakamueleza(jina la baba yzngu lilikuwa kubwa).
Yeye akasema, twende nitaku test mimi mwenyewe.
Baada ya driving tedt zkasema mbona unaendesha vicuri tu, na akaweka sahihi na nikaend Idsra y kodi kuchukia leseni yangu.
RIP Kamanda Zelothe Steven, Rest in Peace.
Wakistaafu wanavaa uhalisia wao.. Pumzika kamandaView attachment 2793949
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu.
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma.
Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha
Atajiju na ukatili wakeM/kiti wa CCM Mkoa wa Arusha mzee Zelothe Stephen ameaga Dunia.
Mwendazake huyo alikuwa mtu muhimu mno kwa mikakati ya CCM hasa eneo la ulinzi na usalama!
Kabla ya awe M/kiti wa CCM Arusha mzee Zelothe alipata kuwa Afisa mwandamizi wa Polisi Tanzania.