TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

Ooooh RIP Kamanda Zelothe Steven.

He was a practical man na alikuwa na akili ya kuzaliwa ku assess situations.

Mimi.namkumbuka in 1985, alikuwa Traffic makao makuu, nami nilikuwa natakaka kupimwa zoezi la kupewa leseni.

Traffic wengine waliposikia jina langu wakaogopa.

Yeye akafika pale na askari wenziwe wakamueleza(jina la baba yzngu lilikuwa kubwa).

Yeye akasema, twende nitaku test mimi mwenyewe.

Baada ya driving test akasema mbona unaendesha vizuri tu, na akaweka sahihi forms za kupimwa na nikaenda Idara ya kodi( miaka hiyo Revenue-Samora) kuchukua leseni yangu.

RIP Kamanda Zelothe Steven, Rest in Peace.
 
Kila nafsi itaonja mauti la kuzingatia muda wako uliutumaje!
 
TANZIA: Kada wa CCM na Afisa Mwandamizi wa juu zamani wa Jeshi la Polisi Zelothe Stephen amefariki dunia leo
Maafisa wa polisi wanaopaswa kutojihusisha na siasa ni makada wa ccm! Anyway, unafiki ni jadi yetu. Apumzike anapostahili, kama anastahili pumziko.
 
R.i.P Classmate.....😥
Sinto sahau jinsi John alivyo kutumbua chap 2017 ukiwa RC Rukwa...🤨
 
tuishi kwa kiasi, tutende wema na tumuogope Mungu.

InshaAllah Mwenyezi Mungu amsamehe dhambi zake na kumuondolea adhabu kaburi.
 
Lemma ameanza, hata kama unataka ubunge, sio kwa staili hii
 
Mkanda naanza kuunganidsha dot

Vipi makandarasi mnapata kazi
Mnalipwa Kwa wakati?
 
Wakistaafu wanavaa uhalisia wao.. Pumzika kamanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atajiju na ukatili wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…