TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

RIp
 
Apumzike Amani
 
Unaandika kama mtoto mdogo how??khaa
 
Rip Afande....
 
Tumeumbwa Kwa udongo tutarudi Kwa udongo
 
Mwenyekiti wa CCM mkoa anafariki bosi wake Mama Abdul hata salama za pole hadi muda huu hajatuma😳
 
Mungu amweke alikojichagulia angalipo hapa duniani
 
Hamna cha ajabu hapo, afisa yeyote wa jeshi au polisi ili uwe na cheo cha juu kidogo lazima uwe na kadi ya ccm na hilo liko wazi kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…