Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 51
Who is/was that?Imetokea asubuhi hii, Mazishi yatafanyika leo saa kumi jion katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam.
RIP kamanda Mohammed Chico, Inna lillaah wainnaa ilayhi raajiuun
RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Arusha?!...Alikuwa RPC wa Arusha enzi ya mkapa NA kikwete amestaafu kama Miata mitatu iliyopita ni mzaliwa Dar
Watu WA moshi tunamfahamu vizuri Sana......... Na ccm wanajua piaHuyo kamanda atakumbukwa kwa lipi hasa?
Poleni wafiwa wote.
Wewe sio Mwenyenzi MunguAmewatesa sana wapinzani, anapata hukumu ya haki, ccm haipo naye sasa hivi, yuko peke yake. Hukumu ya haki kwa aliowaonea!
Wengine humu huwa tunasahau kwamba kuna vijana waliozaliwa miaka ya 2000. Mara nyingi huwa tunadhani wote ni wa miaka ya 60, 70 na 80. Kamanda Chico alikuwa ni RPC na mara ya mwisho alikuwa RPC Kilimanjaro kabla hajahamishiwa makao makuu ya polisi na kustaafia Makao Makuu ya Polisi. Alikuwa kamanda maarufu kwa mambo mbalimbali. Sijui kama yote yalikuwa na ukweli ama la.RIP...Polen sana ila ungefafanua zaidi mkuu kamanda Chico alikuwa nani sio wote tunamfaham..
Kilimanjaro bwana.. Arusha alikuwebo hasimu wake James Kombe R.I.PAlikuwa RPC wa Arusha enzi ya mkapa NA kikwete amestaafu kama Miata mitatu iliyopita ni mzaliwa Dar