TANZIA Kamanda wa polisi wa zamani Kilimanjaro, Dr. Mohammed Chico afariki dunia

polisi Mungu awasaidie sana, kabla ya kufa wamrudie Muumba. wana dhambi nyingi sana, kazi yao ni ya uonezi sana na unyamaunyama tu. nimefanya nao kazi mara nyingi, roho zao wote ni sawa labda kwasababu wanasoma chuo kimoja kule moshi. pia ni wasaliti usije kuwaamini, wanakuruka hatua mia nane. arest anapostahili kwa mapenzi ya Mungu. kama ni pema sawa, kama ni pabaya ndo hivyo tena.
 
NATOA POLE.Habari kama hii iletwe imekamilika.Kilimanjaro imekuwa na makamanda wengi hadi sasa kwa nyakati tofauti.Chiko alikuwa wa mwaka gani?
 
Chiko alikuwa rafiki yake Mahita na alikuwa ana hisa kwenye mabasi ya Buffalo ,professional alikuwa ni baharia.Namkumbuka alikuwa mgeni rasmi kwenye graduation Old Moshi Secondary

Hawa wawili - Mahita & Chico walilea sana ujambazi na majambazi Moshi & Arusha, na walitajirika sana sana kupitia makundi hayo! Bila shaka alimpa nafasi ya kutubu kabla ya kumchukua!
 
hahaaaa umenikumbusha mbali sana akiwa same alikuwa anapenda kwenda kwenye duka lala mama mmoja pale station chini ya lile bomba la railway....inasemekana alikuwa anapumzika.
[emoji23] [emoji23] we Jamaa mkali
 
hahaaaa umenikumbusha mbali sana akiwa same alikuwa anapenda kwenda kwenye duka lala mama mmoja pale station chini ya lile bomba la railway....inasemekana alikuwa anapumzika.
Duka la mama Abdalla

Pia nasikia mzee Champion ( Mabuba)
Naye wanazika keshokutwa
Amefari Jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…