Kamanda wa Ukraine apongeza mafanikio kusini asema njia ni nyeupe

Kamanda wa Ukraine apongeza mafanikio kusini asema njia ni nyeupe

5520

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2011
Posts
849
Reaction score
1,482
Mafanikio makubwa yamepatika Kusini Ukraine na kwamba ngome za Urusi zimemungunyuka na kupoteana hivyo wanazidi kusonga mbele kwa haraka haraka kukomboa ardhi yao

bb.jpg
 
Mpaka ukiona aljazeela wamekiri,basi ujue warusi wanapokea kipigo haswa.,soon tunafika bahari ya Azov..,tukishaifikia tu hiyo bahari,then tunashusha storm shadow za kutosha pale Kerch bridge Ili kuhakikisha kwamba havuki hata nzi kwenye daraja Hilo..,Kuna mtu anataka niendelee??

Screenshot_20230826-154731.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin aliUnderestimate Ukraine nafikiri hakufuata hata ushauri wa makamanda wake jinsi alivyojiamini.Na sasa amevuna alichopanda.Sasa hivi hakuna nchi itakayomuogopa Tena huko ulaya, Russia kama superpower 🤔
 
Wazalendo wanamwondoa mvamizi kama Tanganyika ilivyomwondoa Idd Amin Dada.
 
Back
Top Bottom