Kamanda wa Ukraine apongeza mafanikio kusini asema njia ni nyeupe

Mpaka ukiona aljazeela wamekiri,basi ujue warusi wanapokea kipigo haswa.,soon tunafika bahari ya Azov..,tukishaifikia tu hiyo bahari,then tunashusha storm shadow za kutosha pale Kerch bridge Ili kuhakikisha kwamba havuki hata nzi kwenye daraja Hilo..,Kuna mtu anataka niendelee??



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Putin aliUnderestimate Ukraine nafikiri hakufuata hata ushauri wa makamanda wake jinsi alivyojiamini.Na sasa amevuna alichopanda.Sasa hivi hakuna nchi itakayomuogopa Tena huko ulaya, Russia kama superpower 🤔
 
Wazalendo wanamwondoa mvamizi kama Tanganyika ilivyomwondoa Idd Amin Dada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…