Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho kilitakiwa kuwahami.
Kwa ufupi, alishindwa kukihami kikosi hicho na makomandoo kibao wakauliwa. Na. Kujeruhuwa.
Na vifaru vyake vilipoanza kushmbuliwa akaamuru viondoke na kurudi nyuma, kuwaokowa vijana wake.
Hiki ndiyo kikosi kilichobamizwa sana vifaru vyake huko Ghaza. 👇🏾
View: https://youtu.be/edBqF6yTiAk?si=HD1kKXQENCQJkg1j
Sijafundishwa hivyo mama P Didy.Wh
Ndivyo ulivyofundishwa na walimu wako, shule za Kusomea ujinga, Kuwacha mada Kuanza kumvaa mleta mada?
Hiki kichapo kjtoka kwa Hezbollah mpaka kamanda wa vifaru wa kizayuni akatoka nduki kwenda kujiudhuru 👇🏾
View: https://youtu.be/nhOMAT7HUfM?si=os-RfjCZfLir0yDN
Sina ujinga wa kushabikia kifo chochote Mimi. Kifo hakina dini, Imani wala kabila. Mungu mwenyewe hapendi kifo Cha mtu muovu. Kifo was not original idea ya Mungu. Kifo ni adhabu anayeshangilia kifo Cha mtu mwingine ni mjinga tu wa kawaida.Unataka tushabikie wakiuliwa watoto, wanawake na wagonjwa mahospitali?
Meza tu, ingawa chungu.
Unaota kawaulize Hamas kilichowak8ta juu ya ardhi na chini ya ardhiVita ya ardhini hawaiwezi, soon wataondoa askari wao wote.
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho kilitakiwa kuwahami.
Kwa ufupi, alishindwa kukihami kikosi hicho na makomandoo kibao wakauliwa. Na. Kujeruhuwa.
Na vifaru vyake vilipoanza kushmbuliwa akaamuru viondoke na kurudi nyuma, kuwaokowa vijana wake.
Hiki ndiyo kikosi kilichobamizwa sana vifaru vyake huko Ghaza. 👇🏾
View: https://youtu.be/edBqF6yTiAk?si=HD1kKXQENCQJkg1j
Huelewi unachpokisoma wala unachokiona.Uongo tena wa hali juu nyie wavaa kobaz vipi?
Huyo kamanda alijiuzulu muda mrefu toka vita ianze na sababu ya kushindwa kuzuia Hamas kuvamia Israel October 7 soma hii hapa
The commander of the IDF’s Unit 8200, Brig. Gen. Yossi Sariel, notified his superiors and subordinates on Thursday that he intends to resign from his position, close to a year after Israel’s intelligence establishment failed to prevent Hamas’s October 7 onslaught.
The IDF said Sariel is due to be replaced “in the coming period.” Unit 8200 is the IDF’s main signals intelligence unit, and is among the units pointed to as playing a role in the failure to prevent October 7. Sariel entered the position in February 2021 following a long military career in intelligence.
Wewe ndiyo wale wanaelambwa kofi shavu la kulia wanageuza walambwe na la kushoto.Sina ujinga wa kushabikia kifo chochote Mimi. Kifo hakina dini, Imani wala kabila. Mungu mwenyewe hapendi kifo Cha mtu muovu. Kifo was not original idea ya Mungu. Kifo ni adhabu anayeshangilia kifo Cha mtu mwingine ni mjinga tu wa kawaida.
Kalaghabao.
Unahisi vita vina mshindi? Endelea kivishabikia.Wewe ndiyo wale wanaelambwa kofi shavu la kulia wanageuza walambwe na la kushoto.
Sikushangai, ushazoweshwa kupigwa.
Wajinga ndiyo waliwao.