Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Never give up bro tafuta mchongo anza upya
 
fact
bet kwa shilng moja inazaa 200 au kumi inazaaa 500 mdogomdogo mana ndo uwezo wako sasa ona ona ona jamaa anataka kufa kabla ya mda alopangiwa na mungu wake
 
Kabla hujajitoa kwanza mkuu, umebaki na sh ngapi nikupe odds 2 tusikilizie.
unaonaje kias nlichobakiwa nACHO NKAUNGA ATA BANDO then niangalie smooth criminal naeza pata question kadhaa kwa nini jakson alfkiria hivi na si vile?
 
kaka hii kitu inaathiri vivaya sana na mbaya zaid ukiwa teja like us...
Ww umejiendekeza mkuu, nimeanza betting mwaka 2016 nilipo maliza chuo school of nursing nikakaa nyumbani, jamii forum ilinifundisha kubet kupitia jamaa mmoja aliye kuwa anatupa mkeka [emoji23][emoji23][emoji23] DeepPond haloo, tulipata mkeka sometimes unabutuliwa sometimes unakula.

Mpaka sasa nimeajiriwa nina familia inaishi vizuri tu, kubet huwa nabet mara moja napo nastake 10000 nikiliwa tu nakaa baada ya mwaka ndio nabet tena 1×bet wakinipa code ya offer, hii kitu ukiji control unaacha kabisa. Nipo bize na shughuli zang hvyo kubet sijaweka kipaumbele kwa sasa.
 
Kitendo cha kutambua kua betting imekuharibia maisha ni ishara ya kujitambua na kutambua kosa lako,

Bado hujachelewa na umri wako bado unaruhusu,toka huko kwenye betting uanze upya,

Kufanya kosa sio kosa, kosa ni kurudia kosa.
Pokea huu ushauri utanishukuru.
 
Serikali inaingia hasara kubwa kwa vijana kama nyie, maamuzi ya kujinyonga kwako ni sahihi.. kuhusu mke na mtoto usihofu tutalea tu
 
Naelewa hali unayopitia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…