Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Kamari imeharibu kila kitu kwenye maisha yangu

Pole sana ndugu, nilipoona tu hiyo "tyuu" nikabaini kweli unachangamoto.
 
Kwanza nitangulize salamu zangu kwa wanajamvi wote humu ndani, Tumsifu yesu kristo, Asaalam Aleykum.
Mimi ni kijana wa miaka 26 (me) elimu yangu ya juu ni degree ya tourim managment niliyoipata SUA miaka 2 iliyopita.

Kiufupi Mimi ni muumin mzuri wa biashara hivyo basi baada ya kuhitimu elimu yangu pale SUA mwaka 2022 nilikuwa nmefankiwa kukusanya kiasi fulani cha fedha kwa ajili ya kufanya biashara na kweli nilirudi mkoani kwangu na kufungua biashara ya kuuza vyombo vya ndani katika soko la kilombero, Hivyo kwangu cheti hakikua na maana yoyote ile kwani nia yangu ilikuwa niwe mfanya biashara mkubwa tuu hivyo cheti cha form six na chuo vyote sikuchukua kwani sikua na mpango ata theluthi moja wa kuajiriwa.

Hivyo basi ubongo na akili niliviboost kimapacha ili nikue kibiashara na kweli mambo yalikuwa poa, huku classmate wangu wengne wakitafta ajira. Mpaka kufika mwaka jana mwezi wa 8(august) nikuwa na kiasi cha 4 million.

Basi bhana kuna siku classmate wangu mmoja alniomba tukutane mtaa flani iv na me nkaenda kweli kumskilza ila kwa bahati mbaya alkua kwenye nyumba ya michezo ya bahati na sibu bas bhana tukapiga story na nkamuomba anielekeze namna ya kubeti alooooo hapo ndo nilipo jiloga mwenyewe kwani kwa siku ile nilkula kama elfu 78 kwa dau la 2500 nkasema mbona pesa apa ni chap chap.

WAKUU kuanzia hapo nilkuwa mkamaria mzuri yaan mpaka kuna time nlikua naacha ofisi yenyewe naenda kupambana na betting niwe mkweli betting imeniharibu vibaya mnoo na kunifilisi kila kitu nlichokuwa nacho apa nlipo sina simu wala ata senti moja.

BETTING imeharibu si tu uchumi wangu ata mahusiano na jamii,ndugu,pamoja na marafiki kwan uaminifu tena na mimi hawana PILI betting imenipotezea hisia za mapenzi, hofu ya mungu pamoja na ladha ya chakula kiufupi tyuu saiv akili na ubongo kila kukicha ni kuwaza betting na nimekuwa nikishinda kwenye nyumba za betting kuanzia asubuhi ad wanafunga yaani kula yangu yenyewe ad nipige ukware nikipata buku nile jero na jero nibaahatishe bahati yangu lakini nmeambulia kuwa mtu wa kujilaumu ad kna mda natamani tyuu bora nife coz I am great loser en dis is painful to me always en am lose hope,light en love.

NOW tumain pekee la kwa nini niishi ni namhurumia mwanangu pamoja na mam yake vip wataishi? ni heri nichechemee hivi hivi huku nikifurahia tabasamu la kachanga kangu though sijui now ako na two month nlichomudu kumnunulia ni kofia mbili tyuuu that too bad to how dis fucking aibu inantafuna.
Chai
 
Serikali ipige Pini betting nchini,
Vijana na Uchumi upone.
 
Tatizo lolote kwa mtu au jamii linaanzia ktk akili yake.
Tunawezakubali kwamba ni tatizo,lakini mitaani anakoishi kijana mwenzake akashinda milion 10,huyu mtu tutamsaidiaje kwa hicho atakachokuwa amekiona hapo mtaani kwake??

Ngono kwa vijana ni tatizo,lakini lazima tuwaambie kama ni lazima wafanye basi wahakikishe wafate kanuni za kiafya ili kuepuka madhara yake ya moja kwa moja
tukiwa tunafoka tu ngono hivi,ngono vile wakati tunalala chumba kimoja wanaona wanatuona sisi wachawi.

Betting kama ilivyo kilevi chochote ni kibaya kama utakiendekeza,lazima uwe na nidhamu ktk kiasi cha matumizi,ambayo utaitumia hata ktk maisha mengine ya kila siku,
Mimi nachoweza kumwambia asiache betting,aache upumbavu.
Aah mkuu...umemuelewa lakni au umesema tu asiache bettiy
 
😂 😂 😂
Kila kitu fanya kwa kiasi. Roho iliniuma kama wiki mbili nilikuwa nataka kama 30K nikaweka mechi ya England sijui na Slovenia. Zipatikane goal mbili tu. Nikatia 100,000. Alafu timu mbili tu. Huwezi amini dk ya 13 Jude Bellingham katia goli nikajua hapa tayari. Mpira ukaisha likabaki goal lile. Laki yote ikaenda.
Nikajiambia shikamoo Kanji 😂😂😂
🤣🤣Pole mkuu kimbia mbali na betting
 
Sasa uo upumbavu cndo betting yenywe mkuu?imemfnya alipo leo
 
😂 😂 😂
Kila kitu fanya kwa kiasi. Roho iliniuma kama wiki mbili nilikuwa nataka kama 30K nikaweka mechi ya England sijui na Slovenia. Zipatikane goal mbili tu. Nikatia 100,000. Alafu timu mbili tu. Huwezi amini dk ya 13 Jude Bellingham katia goli nikajua hapa tayari. Mpira ukaisha likabaki goal lile. Laki yote ikaenda.
Nikajiambia shikamoo Kanji 😂😂😂
🤣🤣Pole mkuu kimbia mbali na betting
 
Me betting siwezi acha ndio kazi hii nimesomea Nina degree na ndio naendeshea familia inapata Nuru Kwa hiyo kazi.
 
Ushapigwa wewe ndio maana umejua huu mchezo ni hatari hahaha hii kazi ni ya wachache mzee wewe huna bahati nayo
Hapana cio hvo ila hmna bahati hapo endlea nayo na IPO cku utakumbuka kuwa hakun kitu utapata hpo
 
Hapana cio hvo ila hmna bahati hapo endlea nayo na IPO cku utakumbuka kuwa hakun kitu utapata hpo
Umejuaje kama hamna bahati kama hujawahi kuchezea kichapo hahahaha betting sio ya masikini mzee tafuta kazi nyingine sababu masikini Hana bahati
 
Back
Top Bottom