KERO Kamari imekuwa janga kubwa, Vijana tuungane kutokomeza janga hili

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Kamari haina madhara kiafya, na hilo ndo muhimu. Kama ni kupambana na vitu vyenye madhara kwa vijana ni vyema vikawa Pombe na Mihadarati
Chief kamari ni mbaya ni mbaya ni mbaya zaidi ya pombe kwasababu pombe unakunywa unalewa unalala ila kamari kuacha ili ulale maana yake umeishiwa na pesa namba moja ,mbili kama ilaleta( gambling disorders) mambo ya addiction yanaingia hapo then unaanza kupata changamoto za afya ya akili
 
Uzi huu umeibua hoja nzito sana ambayo haiwezi kupuuzwa. Kamari si tena burudani ya kawaida kwa baadhi ya watu; imegeuka kuwa tatizo la kijamii na kiuchumi, hasa pale uraibu unapomfanya mtu kupoteza uwezo wa kufanya maamuzi yenye busara.

Hata hivyo, suluhisho si kupiga marufuku kila kitu bila utafiti wa kina. Kinachohitajika ni uwajibikaji wa pamoja kati ya Serikali, kampuni za kamari, familia na jamii. Serikali inapaswa kuimarisha elimu kuhusu madhara ya uraibu, kudhibiti matangazo yanayolenga vijana kwa namna ya kuwashawishi kupita kiasi, pamoja na kuhakikisha huduma za ushauri na tiba kwa wenye uraibu zinapatikana.

Vilevile, vijana wenyewe tunapaswa kutambua kuwa kamari si njia ya uhakika ya kujikwamua kiuchumi. Ahadi ya kupata pesa haraka imewafanya wengi kuingia kwenye mzunguko wa kupoteza, kukopa na kubashiri tena wakitumaini kurejesha walichopoteza.

Ni wakati wa kuacha kuangalia mapato ya kodi pekee na kuanza kupima pia gharama za kijamii zinazolipwa na familia. Maendeleo ya taifa hayapaswi kujengwa kwa mapato yanayotokana na wananchi wengi zaidi kuzama kwenye madeni na uraibu.

Kamari yenye uwajibikaji ni jambo moja, lakini uraibu wa kamari ni janga linalohitaji hatua za pamoja.
 
Siamini kama madhara ya kamari ni makubwa zaidi ya madhara ya pombe. Madhara yote ya kamari yamo ndani ya madhara ya pombe na zaidi ni kua pombe ina madhara makubwa zaidi kiafya mpaka kuchukua uhai
 
Siamini kama madhara ya kamari ni makubwa zaidi ya madhara ya pombe. Madhara yote ya kamari yamo ndani ya madhara ya pombe na zaidi ni kua pombe ina madhara makubwa zaidi kiafya mpaka kuchukua uhai
Natamani uelewe nachoelewa mimi ila ni ngumu kwasababu unaupeo wako wa kufikiri na kuchanganua mambo,ila tambua kamari inaleta madhara ya changamoto ya akili ambayo kwa miaka mingi jamii zetu changamoto ya akili tunakimbilia kusema amerogwa
 
Sikatai unachosema ila sikubaliani nawe unaposema kamari ina madhara zaidi ya pombe. Na naamini kama kweli serikali itaamua kuchukua hatua juu ya haya, basi pombe iwe namba moja kabla ya kamari
 
Sikatai unachosema ila sikubaliani nawe unaposema kamari ina madhara zaidi ya pombe. Na naamini kama kweli serikali itaamua kuchukua hatua juu ya haya, basi pombe iwe namba moja kabla ya kamari
Narudia tena uelewe nachosema ila ningumu ila tambua jambo ambalo hutumia hisia ni ngumu sana control ikitokea shida yake kwasababu pombe utaona moja kwa moja madhara yake
 
Tushawakataza kuijumuisha betting na mikamari yenu ya ajabu ajabu. Kuna tofauti kubwa kati ya kamari(lottery) na betting(bashiri) kamari ni ugonjwa halafu betting ni logic
 
Anamanisha betting siyo kamari na bonanza za wachina
 
Chai
 
This content is AI generated.

Zimebaki gemu 3

Inter Miami nimempa double chnce maana haeleweki kama PSG.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…