fogoh2
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 5,305
- 5,355
huwa
hawashindi?Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa
Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji
Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"
Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya kulevya!