Kamari inapunguza mzunguko wa Fedha kwenye uzalishaji na kufanya maisha yawe magumu, CCM liangalieni hili

huwa
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa

Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji

Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"

Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya kulevya!
hawashindi?
 
Hakika umenena. Nilikuwa addicted na hii kitu.

1. Hufikirii kazi zingine za kuzalisha.
2. Muda wote unachambua timu
3. Kila unapopata hela ni kwenda kubet huwazi maendeleo mengine.
4. Hata uliwe siku zote hukomi

Nashukuru Mungu Aliniokoa na hili janga.

Vitabu vyote vya dini vinapinga kamari.

Naiomba serikali ipige marufuku kamari na bonanza zote.

Michezo yote ya kubahatisha kwenye simu ipigwe marufuku.

Tutaokoa kizazi
hata hao kwenye vitabu vya dini ndio walewale wanataka hela uwapelekee wao
 
Kama mtu ulisoma Hisabati Permutations & Combinations kwenye topic ya Probability aisee huwezi kucheza hii michezo - chances ya ku score huwa ni Zero aka unaibiwa hata na kidogo ulichonancho.
 
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa

Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji

Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"

Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya kulevya!
Akina mama ukienda kwenye mashine zile za slots 🎰 wanazizungusha kila siku wakitegemea wataiangusha jackpot lakini wapiiii !! Kila siku wanaitafuta pesa kwa udi na uvumba kisha wanazipeleka kwenye 🎰 slot machines 🎰 ni Hatari sana! Na hata akipata pesa pale hawezi kuondoka maana mchezo unamnogea kichwani mpaka pesa yote ataiacha kwenye mashine !!
 
Mwingine atakwambia ubunge umemrudisha nyuma kimaisha bora angekuwa mkulima

Hapo ishu sio kamari ishu ni akili zako tu

Kuna watu wanapiga ela kwenye kamari na wanajenga majumba

So hapo jizungumzie ww Tu
Rejea nilicho andika,79% nimejizungumzia mimi,sehemu nyengine nimezungumzia juu ya kukutana na watu walio kuwa na hata kazi ambazo si sahihi.
Ila kama huelewi ninacho maanishaa basi nawe ingia kwenye huo URAIBU
 
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa

Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji

Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"

Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya kulevya!
Na saa hiz kila media inatangaza na kusisitiza kubeti isipo kua za kidin tu. Hii Hali sio nzuri hasa ukizingatia michezo hii inawavutia zaid kundi la vijana ambao ndo wanatakiwa kuwa wazalishqji.
 
Ni asilimia ndogo sana wanaopiga pesa kwenye kamari na kwa sababu hakuna mtu anayeweka kumbukumbu ya pesa aliyoliwa kwenye kamari ndio maana siku akiishusha jackpot anaona amekula pesa nyingi kumbe haifiki hata robo ya alizokwisha kuliwa tangu aanze kucheza kamari !! Na baadaye ataanza kuzirudisha kidogo kidogo mpaka ataiuza na hiyo nyumba aliyoijenga !! Kamari ni Uraibu kamili kama madawa ya kulevya !!
 
Na saa hiz kila media inatangaza na kusisitiza kubeti isipo kua za kidin tu. Hii Hali sio nzuri hasa ukizingatia michezo hii inawavutia zaid kundi la vijana ambao ndo wanatakiwa kuwa wazalishqji.
Nchi za wazungu wameweka kamari sehemu maalum ambazo wenye pesa zao za kutosha ndio wanaokwenda kuzipoteza yaani kwenye macasino sio sisi tumewekewa kwenye mitaa yetu kijana akipata elfu kumi anatumbukia ndani mwenye elfu tano anatumbukia ndani na kila anayetoka ndani ukimuangalia usoni amekunja ndita ujue pesa yake imeenda ! Yaani Kwakweli huu ni unyang’anyi ! Daylight robbery !!
 
Rejea nilicho andika,79% nimejizungumzia mimi,sehemu nyengine nimezungumzia juu ya kukutana na watu walio kuwa na hata kazi ambazo si sahihi.
Ila kama huelewi ninacho maanishaa basi nawe ingia kwenye huo URAIBU

Me ninao uraibu mwingine
 
IMG_3843.jpg
 
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa

Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji

Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"

Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya kulevya!
Wajinga HAWATA KUELEWA
 
Acheni Ujinga
 
Uko sahihi kabisa na itazamwe hii hali sio nzuri
 
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa

Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji

Vijana wanatafuta Fedha kea jasho halafu zote zinapelekwa kwa " Mhindi"

Hili tatizo ni kubwa kuliko Uteja wa madawa ya kulevya!
CCM WAMEFANYA HAYO YOTE KWA MAKUSUDI ILI WAENDELEE KUTAWALA HUKU WATOTO WAO WANASOMA ULAYA NA KUANDALIWA KUJA KUWA WATAWALA
 
Back
Top Bottom