Kamari inapunguza mzunguko wa Fedha kwenye uzalishaji na kufanya maisha yawe magumu, CCM liangalieni hili

Barcelona jana alipotoka na ushindi wa goli moja dhidi ya Villarreal, wallet yangu ikanona kwa kitita cha 10,100,000/= halafu uniambie eti kamari mbaya?
 
Barcelona jana alipotoka na ushindi wa goli moja dhidi ya Villarreal, wallet yangu ikanona kwa kitita cha 10,100,000/= halafu uniambie eti kamari mbaya?
Wewe uliweka mzigo wa kiasi Gani mzeeya!! Usijekua uliweka stake ya milioni 8 ukarisk Hela Yako afu wewe umeambulia milioni 2 na laki Moja[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…