Kamari zimeshanila pesa vya kutosha... sasa naona cha mwisho kiwe Forex

Majibu yangu ni haya:

Je, kweli lazima mtu akae miaka mingi akisoma graph ndipo aanze kupata matokeo?mbona hata waliosoma sometimes bado wanapoteza hela?
jibu: Kupata matokeo mazuri yanatofautiana baina ya mtu na mtu kuna wengine inaweza wachukua miezi mi 3 wengine 6 wengine mwaka hata miaka 10 muda unaweza usiwe limited au wenye kufanana baina ya mtu na mtu kwa sababu forex ni kama draft rahisi kulielewa but gumu kui master.
Kama nataka basic tu, nijifunze vitu gani vitatu au vitano vya muhimu kabisa?
jibu: elewa market structure, price action covering the technical part, pyschology and Risk Management add also fundamental knowledge
Je, USD 400 au 500 hivi inaweza kuwa ada nzuri ya kujifunzia bila kujiumiza?
jibu: inaweza kuwa enough au not enough inategemeana na mtu na mtu kuna watu wanajifunza kwa kulipia gharama kubwa zaidi wengine gharama na uchaguzi utakaoamua kupitia

Au mnanishauri kabisa nisiingie, niendelee kula maisha yangu ya kawaida na kuacha kutafuta matatizo mapya?
jibu: kwa mentality ako forex might not be proper for you coz uko obsessed na pesa kuliko mchakato yaaani you are more into goals than the process kwa hio hasara za muda mfupi zitakufanya uendelee kuhangaika hangaika so ushauri with that mentality find other business

Na je hamna kitu kinachoitwa bahati nasibu katikA forex yaani huwezi tu kuwa na zali ukawa una trade randomly kama kichaa na bado ukaotea kama ukiwa na luck siku hiyo?maana hata kwenye sport betting tunasema knowledge muhimu ujue stats sijui uangalie head to head lakini kanji akiamua kukushangaza anakushangaza na hakuna kitu utafanya na wewe ukiamua kumshangaza unamshangaza je forex nayo haiko hivyo?
jibu; kwenye forex bahati endelevu haipo yaaani over large sample luck can not outshine the profitable consistency ili uweze fanakiwa ni lazima uwe na knowldge na utulivu wa hali ya juu yaaani discipline

Kama unaona uvivu kukaa mbele ya laptop kujifunza achana nayo utapoteza pesa
naweza lakini kusiwe deep sana mpaka nikaona serious sana na watu wa karibu maana kuna jamaa yangu wa kenya alijifungia ndani miezi mitatu kwa ajili ya kusoma akawa hata kunyoa haendi akawa anakula fegi sana akawa kama chizi yaani kaandika madaftari yote kajaza..alipomaliza kaja kudeposit dollar kama 150 hivi maana namjua ye bahati mbaya sio mwajiriwa so hana income nyingine ndo maana dollar 100 ndo uwezo wake...akacheza ndani ya siku mbili tu akaliwa zote ndo maana najiuliza ina maana gani mtu ujifungie miezi mitatu unasoma tena kama yeye kingereza anakijua vzr halafu utoke upigwe ndani ya siku mbili mpaka anataka auze vitu vyake sasa
 
Majibu yangu ni haya:

Je, kweli lazima mtu akae miaka mingi akisoma graph ndipo aanze kupata matokeo?mbona hata waliosoma sometimes bado wanapoteza hela?
jibu: Kupata matokeo mazuri yanatofautiana baina ya mtu na mtu kuna wengine inaweza wachukua miezi mi 3 wengine 6 wengine mwaka hata miaka 10 muda unaweza usiwe limited au wenye kufanana baina ya mtu na mtu kwa sababu forex ni kama draft rahisi kulielewa but gumu kui master.
Kama nataka basic tu, nijifunze vitu gani vitatu au vitano vya muhimu kabisa?
jibu: elewa market structure, price action covering the technical part, pyschology and Risk Management add also fundamental knowledge
Je, USD 400 au 500 hivi inaweza kuwa ada nzuri ya kujifunzia bila kujiumiza?
jibu: inaweza kuwa enough au not enough inategemeana na mtu na mtu kuna watu wanajifunza kwa kulipia gharama kubwa zaidi wengine gharama na uchaguzi utakaoamua kupitia

Au mnanishauri kabisa nisiingie, niendelee kula maisha yangu ya kawaida na kuacha kutafuta matatizo mapya?
jibu: kwa mentality ako forex might not be proper for you coz uko obsessed na pesa kuliko mchakato yaaani you are more into goals than the process kwa hio hasara za muda mfupi zitakufanya uendelee kuhangaika hangaika so ushauri with that mentality find other business

Na je hamna kitu kinachoitwa bahati nasibu katikA forex yaani huwezi tu kuwa na zali ukawa una trade randomly kama kichaa na bado ukaotea kama ukiwa na luck siku hiyo?maana hata kwenye sport betting tunasema knowledge muhimu ujue stats sijui uangalie head to head lakini kanji akiamua kukushangaza anakushangaza na hakuna kitu utafanya na wewe ukiamua kumshangaza unamshangaza je forex nayo haiko hivyo?
jibu; kwenye forex bahati endelevu haipo yaaani over large sample luck can not outshine the profitable consistency ili uweze fanakiwa ni lazima uwe na knowldge na utulivu wa hali ya juu yaaani discipline

umenijibu kwa ufasaha sana ..swali lingine mkuu inawezekana vp mtu ambaye ana capital ya usd 1000 kumake kila siku dollar 20 tu kwa sababu we upo kwenye hio industry muda mrefu yaani nataka nijue probability za mtu amabaye amepata kusoma basics then ana huo mtaji uwezekano wake ukoje katika asilimia 100 ni rahisi kwa asilimia ngapi?je ni over 80 au below 50

naomba usini judge kwa mentality niliyoonyesha kupitia thread yangu mengine nimeongeza mbwembwe tu ila uwezo wa kuwanza na dollar 1000 upo ila taraget iwe ku pata dollar 10-20 kwa siku,,,ninaweka dollar 10-20 ili ujue namaanisha kweli naposema nitaisimamia risk management sitaki tamaa kbs
 
ok mtaji is enough but not sufficient to profitability the most important thing ni knowledge mkuu kigumu kuhusu hii biashara sio tuu kujua where to buy au where to sell au fundamentals information the difficult part is to master yourself ukiona mtu anachukua miaka ku master game jua hatumii muda kuelewa strategy bali kuji master yeye yaaani will expose the devil inside you. Ipo tofauti na mambo ya kijamii kwa jamii tunajua if you are smart with intelligence you will more likely to succeed uku ni tofauti sana
so going back to the question targeting 10 to 20 dollar per day inawezekana lakini sio kila siku ndani yake kuna kupoteza kuna week utapata nyingi kuna mwezi utamaliza negative so overall dont judge your performance based on weekly or daily performance you should have a working edge that over larger sample you will be positive over 100 trades utakua positive that is how professional do
 
The way unajustify uamuzi wa kubeti inashangaza.Kwamba una hela ,uko masomoni na unaona hauna majukumu.
Swala la kuwa masomoni ni temporary,utamaliza na mwisho utajikuta hauna akiba ya maana uliyoweka.Kwa mtazamo wangu ungejinyima aisee,ukaachana na matumizi yasiyo ya lazima kama kubeti,ili siku ukimaliza shule uwe na mahala pa kuanzia.Hata kama una mshahara baadaye utagundua kuwa kama ungekuwa responsible kwenye matumizi ungeweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kununua assets za maana.
Lakini pesa ni zako,uamuzi wa namna ya kutumia ni wako,na majuto ya uamuzi huo pia yatakuwa yako.
 
umenijibu kwa ufasaha sana ..swali lingine mkuu inawezekana vp mtu ambaye ana capital ya usd 1000 kumake kila siku dollar 20 tu kwa sababu we upo kwenye hio industry muda mrefu yaani nataka nijue probability za mtu amabaye amepata kusoma basics then ana huo mtaji uwezekano wake ukoje katika asilimia 100 ni rahisi kwa asilimia ngapi?je ni over 80 au below 50

naomba usini judge kwa mentality niliyoonyesha kupitia thread yangu mengine nimeongeza mbwembwe tu ila uwezo wa kuwanza na dollar 1000 upo ila taraget iwe ku pata dollar 10-20 kwa siku,,,ninaweka dollar 10-20 ili ujue namaanisha kweli naposema nitaisimamia risk management sitaki tamaa kbs
nikikurudia mleta uzi mfano wewe what is the risk plan utakayoweka na utaitaji reward ya kiasi gani am asking about Risk to Reward(RR) ako je una a working edge to fund that 1000 usd? if you have edge what is your winning rATE, profit factor, loosing streak ako ipoje na many other statistical data ambazo uliwahi kuzikusanya kutokana na system ako?
 
The way unajustify uamuzi wa kubeti inashangaza.Kwamba una hela ,uko masomoni na unaona hauna majukumu.
Swala la kuwa masomoni ni temporary,utamaliza na mwisho utajikuta hauna akiba ya maana uliyoweka.Kwa mtazamo wangu ungejinyima aisee,ukaachana na matumizi yasiyo ya lazima kama kubeti,ili siku ukimaliza shule uwe na mahala pa kuanzia.Hata kama una mshahara baadaye utagundua kuwa kama ungekuwa responsible kwenye matumizi ungeweza kuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya kununua assets za maana.
Lakini pesa ni zako,uamuzi wa namna ya kutumia ni wako,na majuto ya uamuzi huo pia yatakuwa yako.
ni sahihi kabisa ila mleta maada nilichokiona kutoka kwake ni kuwa anatafuta vyanzo vingine vya mapato kajaribu betting kinamna haijampa sasa ivi ana jaribu kuangalia wigo mwingine kama akipata ushauri wa kuwekeza hela zake kwenye nyanja zitakazosaidia kukuza kipato chake itakua njema sana ila kwa mimi ushauri wangu usikimbilie ku deposit kwenye trading kama haujajipa muda wa kusoma na kuelewa biashara jipe muda Tunza fedha kama shule haijabana tenga muda kujifunza on your free time use time to your advantage kwa kujifunza na kufanya demo trading haitakughalimu ukiwa sasa umemaliza na kuelewa then unaweza fanya real trading na mshahara ukiwepo lakini dont rush the process that is the sure way of loosing money mkuu
 
Online kwanini hata usiwe unauza mawazo yako unakuwa profitable kupitia ideas zako na akili yako with zero money investment

Kama upo ktk nchi yenye kukupa access ya free internet n.k tumia hiyo kama opportunity

Maana Forex wanaopata Faida ni wachache na wao hauwezi kuwakuta online wanajitajgaza

Hao wanaojitangaza most of them ni brokers , scammer n.k

So it is true forex is legit business ila inahitaji kutumia muda mwingi kuisoma before u dive in .
 
exactly kaka shida wa insta trader wengi ni scammers na wanauza life style ambalo ni fake to most
 
Online kwanini hata usiwe unauza mawazo yako unakuwa profitable kupitia ideas zako na akili yako with zero money investment

Kama upo ktk nchi yenye kukupa access ya free internet n.k tumia hiyo kama opportunity

Maana Forex wanaopata Faida ni wachache na wao hauwezi kuwakuta online wanajitajgaza

Hao wanaojitangaza most of them ni brokers , scammer n.k

So it is true forex is legit business ila inahitaji kutumia muda mwingi kuisoma before u dive in .
bro kupata hela mtandaoni sio rahisi kama unavyoweza kurahisisha mawazo gani na kwa platforms gani....the easy way huku ni kufanya shopee affiliate program na ubaya lazima uwe na ID Ya nchi husika na sio passport..kila siku huwa unanishauri kuhusu kuingiza kupitia monetization kwa mfano ila mimi nina watu ambao nawaona wako tu smart ila wana followers wengi sana tiktok na instagram lakini mbona hawaingizi chochote wanadai siku hizi ngoma ngumu..labda nitajie hizo platform za kuuza ideas nizijue..maana fiverr sijui wapi kote sijaambulia kazi hata moja
 
lengo ni dollar 20 au 30 tu kwa siku..mtaji dollar 500 je nahitaji kuanza kusoma madude deep kwa ajili ya kuja kugombanisha buy na sells tu..si heri nijue basic tu
To be honest hii biashara ya Fx inahitaji commitment kubwa Kama biashara nyingine tu , No shortcuts here Ndege JOHN lazima uelewe soko linaendaje(Dig deeper).Kama mtu mwenye daladala anawekeza pesa kununua daladala zaidi ya 25M-50M lakini kwa siku hawezi laza zaidi ya 2M sasa watu wengi wakiingia kwenye hii biashara bila knowledge , commitment ,Urafi mtu una 500$ anataka apate 1M per day Lazima uishie kulia ......Kuliko kukimbilia kuangalia faida ya 20$-30$ Pambania maarifa unaweza ukawa unarisk 1% ya 500$ sawa na 5$ na Bado ukawa unapoteza Kila siku -20$ to 30$ kwasababu hauna knowledge ....No shortcut Education is key 🗝️ ... GOOD LUCK.....@By SouthernVille
 
lengo ni dollar 20 au 30 tu kwa siku..mtaji dollar 500 je nahitaji kuanza kusoma madude deep kwa ajili ya kuja kugombanisha buy na sells tu..si heri nijue basic tu
Faida yako ni sawa na mtu mwenye mtaji wa Dollar 5000 apate $200-300 per day?
Yaani mtu mwenye bajaji apate laki 5-6 kwa siku?
Unadhani ni rahisi kihivyo?
Kitu kikubwa unachoweza kumaster kwenye Forex
1.Psychology=80%
Hapa unaweza Kuta kuna pair inakua helaa kabisa,mfano angalia chart ya week ya USOIL,...unaona kabisa Take profit inaelekea kwenye $100, bullish pattern imetengenezwa,with middle east uncertain,hapo ukiweka $1000,lot size yako ya 0.05 baada ya mwezi hukosi $500-1000 faida.
.......swali je una psychology ya kuhilf in muda wote huo?
2.skills/educations-20%
 
Mkuu kiasi nimekuelewa na nitatoa ushauri wangu kutokana na uzoefu wangu, kwanza nitakupa uzoefu na nitamalizia na ushauri.

1. Uzoefu wangu

Binafsi nilianza trading mwaka 2016 mwishoni at that time sifahamu kama Kuna mtu bongo alikua anatrade( nasema hivi kwasababu forex trading imeanza kuongelewa bongo baada ya thread ya Sirjeff hapa jamiiforums) ila Mimi nilikua natrade ndani pasipo kumwambia mtu yeyote. Niliijua trading baada ya kusoma vitabu vya Kiyosaki Kuna kipande alizungumzia the SEC katika kugoogle ndio nilipata kuijua na nikaanza kusoma Mimi mwenyewe binafsi.
Kwasababu nilikua sijawahi kuambiwa chochote kuhusu forex ilikua rahisi kwangu kujifunza na sikuona ugumu wowote.

Mafanikio yangu ya kwanza kwenye forex, kwa kipindi hicho nilikua namtumia broker anaitwa Fotrade, huyu broker alikua bomba sana pia nilipata account manager ambaye alikua ananielekeza sehemu ambazo nakosea pia alinipa video nyingi sana kwaajili ya kujifunza.

My first deposit: Nilideposit Dola 100 na hiyo ndio ilikua minimum deposit na katika kutrade siku ya kwanza niliweza kudouble akaunti na kufikisha Dola 200, kwasababu sikuwa na Imani sana nilijaribu kuitoa kupitia Bank wire, chuma ikadumbukia kwenye account baada ya siku 3 hapo ndipo niliweka Imani kamili.

Baada ya kupata faida yangu ya kwanza ndipo nikaona nimeyapatia maisha, pia Kuna kitu nilikua nakosea pasipo kujua lakini bahati ilikua upande wangu. Mfano nikiingia trade alafu ikaanza kwenda upande wangu bhasi nilikua naongeza trade zingine nyingi sana kwahiyo najikuta ndani ya muda mfupi nimepata faida kubwa natoka sokoni. Ilikua kawaida sana kwa siku kutengeneza faida ya Dola 200 mpka 380.
Hii bahati haikuja bahati mbaya Bali wakati nafanya analysis zangu nilikuja kugundua kitu ata that time kwamba ndani ya muda Fulani Kuna pair Huwa zinabuy sana au zinasell sana, Sasa namimi nilikua natumia muda huo kuingia sokoni na kutoka.
Haka kamchezo kaliniwezesha kukuza akaunti yangu mpaka kufikia Dola 7000+ huku benki nikiwa na kiasi Cha zaidi ya mil5

Makosa niliyoyafanya: Kuna siku katika kupitapita mitaa ya Instagram nilikutana na dada mmoja msauzi anajiita Boss Lady, huyu bidada alikua anafanya forex pia anauza signal bhasi hapo ndio nilijichanganya nikalipia signal kwa huyu dada.
Nililipia Dola 100 fresh na kipindi hicho kulikua hakuna Whatsapp group kwahiyo alikua anatuma inbox signal zake, kwakweli nilienda nae vizuri sana nakumbuka siku ya kwanza nilipiga faida ya dola700 kwa signal zake na ndani ya wiki nikatengeneza kama usd 4000+ kupitia signal zake, hapa nikaona hakuna haja yamimi kukaa ndani na kusubiri signal inabidi nifanye na biashara zingine, nikaanza kulima na biashara ya mazao.
Huyu bidada niliweka trust kubwa sana kwenye signal zake namimi binafsi niliacha kabisa kujifunza Wala kuchungulia chart, Mimi nilikua nasubiri signal na kuingia trade bhasi.
Mpaka kufikia mwishoni 2017 nilikua mtaji ulikua umefikia zaidi ya dola 30,000 namimi nikiwa najiamini kwamba kama maisha bhasi nimeyapatia. Sio kwamba hatukuwa tunapoteza trade kwa huyu dada HAPANA tulikua Kuna siku tunaloose ila alipokua anaona trade inaenda against alikua anawahi kuniambia funga hii trade na loss yake unakuta ni ya kawaida labda Dola 200-400.

Usiku wa maajabu; Huyu dada alikua na utaratibu pia wa kutuma pending order Sasa mara nyingi Mimi hizi pending order nilikua siziingii, Sasa Kuna siku sijui ilikuaje nikaweka pending order alafu niliweka lot size kubwa sana, sikumbuki vizuri ila ilikua ni lot size ya zaidi ya 30Lot.
Kwakweli sikumbuki hii trade niliiwekaje pia kutokana na uzoefu wangu wa kutrade na huyo bidaa Kuna kipindi hata stop loss nikawa siweki naweka take profit tuu, na endapo nikajikuta trade aliyoituma ipo kwenye loss kubwa nilikua naHEDGE Yaani kama trade ilikua SELL bhasi naongeza BUY with the same lot size kwasababu akaunti ilikua ni kubwa sikuwa na mashaka.
Sasa hiyo trade yenye 30 lot size ndio ilichoma akaunti yangu yote na nikabakia Sina kitu kwenye akaunti.
Yaani nilishtuka usiku nikafungua mt4 yangu nakuta akaunti inasoma SIFURI, kwakweli nilichanganyikiwa nilipoteza morali yoote, Kuja kuangalia history nikaona hiyo trade yenye 30lots ndio imechoma akaunti.

Mwanzo wa kufirisika: Hapo nikaanza kuchukua Hela cash na kudeposit, na kwakuwa nilikua kwenye panic mode nilikua nazidi kupoteza fedha maana Kuna siku nilipoteza mpaka milioni 8, hii ilisababishwa na pressure ya kutamani kurudisha fedha yangu pia Kuna muda nilikua naingia trade Mimi mwenyewe pasipo muongozo wowote, hii ilitokana na yule bidada kuchelewa kutuma signal so nikajikuta napoteza fedha zote mpaka nikatelekeza shamba na mazao kule Tanga, mwisho nikaingiwa na depression na huo ndio ukawa mwanzo mwingine wa kuona ubaya wa trading.

REVIEW NA MAFUNZO YANGU

1. Mwanzo nilianza vizuri ila uvivu wa kusoma na kutaka shortcut ndio ilinifanya nikaacha self-trading nikaenda kununua signal kitu ambacho kilipoteza uwezo wangu wa kulielewa soko.

Funzo: Trading ni safari ya mtu mmoja Yaani unaweza kufanikiwa sana mkiwa wengi lakini siku ikikukuta changamoto jua kwamba utapambana nayo wewe binafsi kwasababu forex trading ni biashara inayohusisha sana person psychology and emotions kwahiyo ukishindwa kujicontrol katika hivyo vitu usitegemee kufanikiwa kwenye trading.

2. Epuka social media: Endapo unaamua kufanya trading jitahidi sana kuepuka social media, hizi social media zinajaza pressure sana na ndio zinaharibu psychology ya watu na mtu akishaharibika kisaikolojia anakuwa emotions na hizi emotions ndizo zinamfanya mtu afanye maamuzi yasiyo sahihi mfano Over trading, Greedy na kubwa zaidi ni kujaribu kuwaproove watu kwamba you make profit on trading.
Binafsi kabla sijakutana na Uzi wa Sirjeff nilikua naona trading ni kitu Cha kawaida tuu ila Sasa baada ya kusoma Uzi wake na pia nikaanza kutafutatafuta watu wanaotrade hasa wasauzi ndio nikajikuta nimeweka hizo lot size za 30😂😂. Lakini pia nikaanza kutamani nitengeneze Hela kubwa namimi nianze kuzurula duniani.

2. USHAURI

Huu ushauri ni kutakana na uzoefu wangu kama nilivyoelezea hapo awali, hivyo utapima mwenyewe kama utachukua au utauacha.

Moja kutokana na maelezo Yako nikwambie tuu kwamba ukituliza AKILI na ukaamua kufanya forex kama biashara bhasi utatengeneza fedha zaidi hata ya huyo jamaa ako uliyemshangaa kutaka kufikisha 1 milioni usd kwasababu zifuatazo-
Hufanyi forex kutafuta Hela ya kula, vijana wengi bongo wanafanya forex kutafuta Hela ya kula at the same time wanataka kutajirika, hii kitu haipogi katika Dunia hii iliyoumbwa na Mungu, Kila jambo linahatua zake, ukishavuka kutafuta Hela ya kula ndio unaanza kuwekeza bhana, kuwekeza Hela ya kula ni kujitia presha tuu🤣 ukiona trade ipo kwenye negative unakata ili loss isiwe kubwa💔

Tayari unaexposure, kitendo Cha kuwepo nchi za wenzetu ni exposure kubwa sana, so unakuja huna pressure kama sisi huku mara usikie maandamano, sijui tudai katiba mpya, mwisho umeme sijui ukatike mara urudi🤣🤣🤣 Yaani mambo mengi na muda HAITOSHI.

Kipato Cha uhakika, hili ni muhimu sana kwenye kujifunza trading maana hata ukipoteza kiasi Fulani unajua ninachokipato Cha ziada Cha kurecover the gap.

Twende kwenye ushauri,

1. Pata normal knowledge ya forex, hapa anza kujifunza vitu common mfano Pair(Major&Minor), Lot size, chart( bar graph, candlestick and line graph....... Ni muhimu sana kujifunza hivi vitu mapema) news and it's impact on trading.

2. Jifunze trading psychology kabla ya kuanza kutrade, ingia YouTube sikiliza video hata kumi zinazozungumzia psychology alafu jifunze kumaster emotion zako pale unapoaanza kutrade.

3. Huu ni ukweli ambao wengi hamuambiwi wakati wa kujifunza trade, FOREX IS A GAME OF MANIPULATION. Hili ni lazima ulijue na unapojifunza forex ni lazima uweke akilini kwamba kwenye huu mchezo naingia kupambana na watu wenye mitaji mikubwa na wenye AKILI kubwa pia kwahiyo namimi ni lazima nijiweke kwenye akili kubwa.

Hapa itakusaidia pale unapojifunza usikariri maana watu wengi wanakariri kwamba chart ikiwa hivi bhasi kitatokea kile😂😂😂. Hapa wengi ndio huwa tunapigwa za uso huu ni mchezo manipulation market inaweza kwenda pips 200 alafu ikarudi kufill gap ililoliacha wiki iliyopita😂👐 wewe unajua trend imebadilika, unapobadilika na soko nalo linabadilika🤣🤣🤣💔 hapo ndio utajua haujui.

4. Jifunze kuhusu

SUPPORT and RESISTANCE....... Market inamove kufuatia hivi vitu viwili tuu, wengine huita SUPPLY and DEMAND. wengine huita LIQUIDITY and BREAK OF STRUCTURE

Katika support and resistance Kuna kitu huitwa FAIR VALUE GAP (FVG), LIQUIDITY IMBALANCE and LIQUIDITY SWEEP.

Hivi vitu vyote ili kuvielewa ni lazima uelewe CANDLESTICK, kwenye candlestick Kuna wick's, body, open and closer. Ukielewa vizuri hapo ni rahisi sana kuzielewa chart.

Mwisho jifunze

TREND LINES, PATTERN'S, CORRECTION, TIMEFRAME AND TREND REVERSAL. Hapa ni muhimu kujifunza ili upate kujua entry point zako, take profit zako na sehemu ya kuweka stop loss. Yaani hizi ndizo sehemu za kufanya analysis na kutokea humu ndio utapata entry, stop loss na take profit

Lastly, ukijifunza hayo yote, chagua strategy Yako Sasa, kama unataka kuwa scalper, day trader au position trader ni wewe tuu na uamuzi wako. Uwezo wako wakuvumilia sokoni ndio unakufanya uwe scalper, day trader au position trader.

Strategy ni mkakati wako binafsi kwamba Mimi naingia sokoni natafuta pips 300 stop loss naweka pips 100. Keeps on your strategy and focus on self grow.
Ukiona umepata loss Rudi kwenye chart angalia market ilifikia wapi? Ilifuata F.V.G? LIQUIDITY IMBALANCE? LIQUIDITY SWEEP? au ni CHANGE OF TREND? Then rudi kwenye strategy Yako and focus on it.

5. Kuhusu mtaji wako

Ukifuata hatua zote na ukifikia kwenye strategy ndio itaamua unataka uwe unatengeneza Dola ngapi? Kwa siku, wiki au mwezi.

Strategy Yako ndio itakuambia uwe unarisk kiasi gani ili kupata unachotaka. Ila ukianza kwa kuthaminisha mtaji na kiasi unachotaka utakua unabet kwenye forex kitu ambacho hata ukiweka Dola billion zote zitapotea tuu.

Hili ni darasa tosha na nimeandika sana,
 
Hili ni darasa tosha na nimeandika sana, ukipendezwa na darasa hili usiwe mchoyo wa fadhila.

Fanya muamala hapa

0740043640 M-PESA
RAYMOND KI...AVA
Je uliaxha kucheza?
 
​

Wakuu, Mimi ni mmoja wa wale watu ambao hawawezi kuja hapa kujifanya ni mkali wa kamari.kiukweli kamari imeshanila hela ya kutosha. nadhani wakamaria wote tunajua huu mchezo wetu mfano mdogo juzi niliwapa england kushinda nikaweka laki 9 na nusu nikala million 2.5 sasa jana argentina akanipiga makofi ya kutosha yaani game nimeomba kwa bet bulder argentia score 0.5+ pia itoe cards 2 over pia itoe total 1.5+ nilitia million 1.7 aiseee noma sana ila kwa jinsi tulivyokuwa sugu hatuna hata vwasiwasi kana kwamba hakuna kilichotokea ila wakamaria

Lakini niseme ukweli, kuna ile furaha ya kishenzi... uko umefulia halafu ghafla unaboom. Sasa ile boom ndiyo inafanyaga mtu arudi tena na tena mpaka unagundua umetoa zaidi ya ulichowahi kushinda. Hapo ndipo akili inakaa sawa.

Ok tuje kwenye topic Kwa sasa niko nje ya nchi nasoma. Bahati nzuri kila mwezi napata allowance ambayo ukiibadili ni kama milioni 1.2 za Kitanzania. Mbali na hiyo, nina mshahara wangu Tanzania kama kawaida . Kwa hiyo sometimes nikiishiwa huku huwa navuta kidogo kule maisha yanaendelea.

Kifupi sina bills za maana. Kodi silipi, watoto wa kulipa ada hakuna, umeme na maji sihangaikii. Matumizi yangu makubwa ni kula, kutembea, kunywa kidogo na kupoteza muda maana hata mademu nimejikuta ile wenge nalo limepungua naweza kukaa hata mwezi sijatafuta manzi na ni fureshi tu kimsingi sihongi hela zangu..nina vipesa havina kazi..

Nikikaa nikajibana vizuri naweza hata nisiguse kabisa allowance ya huku nikawa naishi kwa fedha zinazoingia Tanzania.

Sasa shida ndiyo inaanzia hapo.

Hizi hela zikikaa tu account zinaniona kama zimekaa bure. na siunajua sisi wakamaria walevi ili tupate amani ni mpaka hela ziishe..Ngoja nibeti game mbili tu.

Baada ya siku tatu najikuta nauliza, "Hela zimeenda wapi tena?na ndipo sasa moyo unapata amani hahahah

Sasa nina jamaa yangu dogo tu kwao ni Myanmar anafanya Forex. Kitu kimoja ninachomkubali ni mkweli. Akipigwa anasema nimepigwa. Hakuwahi kuniambia eti kila siku anatengeneza pesa.

Kwao maisha yako vizuri kidogo kila mara safari nyingi na familia yao singapore ,australia hazikauki. Mama yake anauza magari, hivyo matumizi yake ya kila mwezi yanazidi hata milioni 3 za Kitanzania anatumiwaga za kula tu na mafuta maana kapewa gari na mama yake Lakini nilichonishangaza ni malengo yake.

Yeye anasema account ikisoma USD 10,000 bado haoni kama ana pesa. Ndoto yake ni siku moja account isome USD 1,000,000. nikajua huyu anaishi sayari nyingine. 😂

Sasa nami nikasema ngoja nijaribu hii Forex.

Lakini kuna kitu kinanifanya nirudi nyuma.

wanaosema eti lazima ujifunze miaka miwili, usome price action, support, resistance, liquidity, market structure, candlestick, psychology, risk management, ICT, SMC, order block, Fair Value Gap... jamani akili yangu imechoka. 😂

Mimi kwa sasa nikipata muda nataka kusoma JF, kunywa wine, kulala na kuendelea na maisha. Sitaki kukaa mbele ya laptop masaa manne naangalia mishumaa ya kijani na mekundu inagombana.

Kinachonipa moyo ni kwamba safari hii siingii nikiwa mjinga kama zamani. Nimeshasikia hadithi nyingi za utapeli wa Forex, account managers, signal za miujiza, robot zinazodai hazipotezi, na watu wanaokodisha Lamborghini kwa ajili ya Instagram. Hayo angalau najua nitayakwepa.

Kuhusu risk management hapo ndiyo naona naweza kujifunza.

Mimi nikiamua kuingia, nafikiria kuanza na kama USD 400. Nikipoteza, sitaenda kukopa wala kuuza kiwanja. Nitahesabu ni ada ya kujifunza kwa sababu kila mwezi bado kuna kipato kinaingia.

Mpango wangu ni kujipa miezi mitatu. Nikiona sifiki popote naona bora nirudi kutumia hizo hela kunywa na kutembea kuliko kuzichoma nikiwa na matumaini ya utajiri wa haraka.

Sasa naomba ushauri wa wale ambao mmefanya Forex kwa muda mrefu.

Maswali yangu ni haya:

Je, kweli lazima mtu akae miaka mingi akisoma graph ndipo aanze kupata matokeo?mbona hata waliosoma sometimes bado wanapoteza hela,
Kama nataka basic tu, nijifunze vitu gani vitatu au vitano vya muhimu kabisa?
Je, USD 400 au 500 hivi inaweza kuwa ada nzuri ya kujifunzia bila kujiumiza?

Au mnanishauri kabisa nisiingie, niendelee kula maisha yangu ya kawaida na kuacha kutafuta matatizo mapya?

Na je hamna kitu kinachoitwa bahati nasibu katikA forex yaani huwezi tu kuwa na zali ukawa una trade randomly kama kichaa na bado ukaotea kama ukiwa na luck siku hiyo?maana hata kwenye sport betting tunasema knowledge muhimu ujue stats sijui uangalie head to head lakini kanji akiamua kukushangaza anakushangaza na hakuna kitu utafanya na wewe ukiamua kumshangaza unamshangaza je forex nayo haiko hivyo?maana target yangu nataka kwa siku iwe hata dollar 20 au 30 tu sasa hadi hio hela natakiwa niisome forex miezi na miezi?
Kumbe uko nje ndio mana habari za wamwera wa lindi hutuletei sikuhizi.

Kongole kwa kutaka kuanza mchakato wa kudowload mihela,nipo na soma koments
 
Mkuu kiasi nimekuelewa na nitatoa ushauri wangu kutokana na uzoefu wangu, kwanza nitakupa uzoefu na nitamalizia na ushauri.

1. Uzoefu wangu

Binafsi nilianza trading mwaka 2016 mwishoni at that time sifahamu kama Kuna mtu bongo alikua anatrade( nasema hivi kwasababu forex trading imeanza kuongelewa bongo baada ya thread ya Sirjeff hapa jamiiforums) ila Mimi nilikua natrade ndani pasipo kumwambia mtu yeyote. Niliijua trading baada ya kusoma vitabu vya Kiyosaki Kuna kipande alizungumzia the SEC katika kugoogle ndio nilipata kuijua na nikaanza kusoma Mimi mwenyewe binafsi.
Kwasababu nilikua sijawahi kuambiwa chochote kuhusu forex ilikua rahisi kwangu kujifunza na sikuona ugumu wowote.

Mafanikio yangu ya kwanza kwenye forex, kwa kipindi hicho nilikua namtumia broker anaitwa Fotrade, huyu broker alikua bomba sana pia nilipata account manager ambaye alikua ananielekeza sehemu ambazo nakosea pia alinipa video nyingi sana kwaajili ya kujifunza.

My first deposit: Nilideposit Dola 100 na hiyo ndio ilikua minimum deposit na katika kutrade siku ya kwanza niliweza kudouble akaunti na kufikisha Dola 200, kwasababu sikuwa na Imani sana nilijaribu kuitoa kupitia Bank wire, chuma ikadumbukia kwenye account baada ya siku 3 hapo ndipo niliweka Imani kamili.

Baada ya kupata faida yangu ya kwanza ndipo nikaona nimeyapatia maisha, pia Kuna kitu nilikua nakosea pasipo kujua lakini bahati ilikua upande wangu. Mfano nikiingia trade alafu ikaanza kwenda upande wangu bhasi nilikua naongeza trade zingine nyingi sana kwahiyo najikuta ndani ya muda mfupi nimepata faida kubwa natoka sokoni. Ilikua kawaida sana kwa siku kutengeneza faida ya Dola 200 mpka 380.
Hii bahati haikuja bahati mbaya Bali wakati nafanya analysis zangu nilikuja kugundua kitu ata that time kwamba ndani ya muda Fulani Kuna pair Huwa zinabuy sana au zinasell sana, Sasa namimi nilikua natumia muda huo kuingia sokoni na kutoka.
Haka kamchezo kaliniwezesha kukuza akaunti yangu mpaka kufikia Dola 7000+ huku benki nikiwa na kiasi Cha zaidi ya mil5

Makosa niliyoyafanya: Kuna siku katika kupitapita mitaa ya Instagram nilikutana na dada mmoja msauzi anajiita Boss Lady, huyu bidada alikua anafanya forex pia anauza signal bhasi hapo ndio nilijichanganya nikalipia signal kwa huyu dada.
Nililipia Dola 100 fresh na kipindi hicho kulikua hakuna Whatsapp group kwahiyo alikua anatuma inbox signal zake, kwakweli nilienda nae vizuri sana nakumbuka siku ya kwanza nilipiga faida ya dola700 kwa signal zake na ndani ya wiki nikatengeneza kama usd 4000+ kupitia signal zake, hapa nikaona hakuna haja yamimi kukaa ndani na kusubiri signal inabidi nifanye na biashara zingine, nikaanza kulima na biashara ya mazao.
Huyu bidada niliweka trust kubwa sana kwenye signal zake namimi binafsi niliacha kabisa kujifunza Wala kuchungulia chart, Mimi nilikua nasubiri signal na kuingia trade bhasi.
Mpaka kufikia mwishoni 2017 nilikua mtaji ulikua umefikia zaidi ya dola 30,000 namimi nikiwa najiamini kwamba kama maisha bhasi nimeyapatia. Sio kwamba hatukuwa tunapoteza trade kwa huyu dada HAPANA tulikua Kuna siku tunaloose ila alipokua anaona trade inaenda against alikua anawahi kuniambia funga hii trade na loss yake unakuta ni ya kawaida labda Dola 200-400.

Usiku wa maajabu; Huyu dada alikua na utaratibu pia wa kutuma pending order Sasa mara nyingi Mimi hizi pending order nilikua siziingii, Sasa Kuna siku sijui ilikuaje nikaweka pending order alafu niliweka lot size kubwa sana, sikumbuki vizuri ila ilikua ni lot size ya zaidi ya 30Lot.
Kwakweli sikumbuki hii trade niliiwekaje pia kutokana na uzoefu wangu wa kutrade na huyo bidaa Kuna kipindi hata stop loss nikawa siweki naweka take profit tuu, na endapo nikajikuta trade aliyoituma ipo kwenye loss kubwa nilikua naHEDGE Yaani kama trade ilikua SELL bhasi naongeza BUY with the same lot size kwasababu akaunti ilikua ni kubwa sikuwa na mashaka.
Sasa hiyo trade yenye 30 lot size ndio ilichoma akaunti yangu yote na nikabakia Sina kitu kwenye akaunti.
Yaani nilishtuka usiku nikafungua mt4 yangu nakuta akaunti inasoma SIFURI, kwakweli nilichanganyikiwa nilipoteza morali yoote, Kuja kuangalia history nikaona hiyo trade yenye 30lots ndio imechoma akaunti.

Mwanzo wa kufirisika: Hapo nikaanza kuchukua Hela cash na kudeposit, na kwakuwa nilikua kwenye panic mode nilikua nazidi kupoteza fedha maana Kuna siku nilipoteza mpaka milioni 8, hii ilisababishwa na pressure ya kutamani kurudisha fedha yangu pia Kuna muda nilikua naingia trade Mimi mwenyewe pasipo muongozo wowote, hii ilitokana na yule bidada kuchelewa kutuma signal so nikajikuta napoteza fedha zote mpaka nikatelekeza shamba na mazao kule Tanga, mwisho nikaingiwa na depression na huo ndio ukawa mwanzo mwingine wa kuona ubaya wa trading.

REVIEW NA MAFUNZO YANGU

1. Mwanzo nilianza vizuri ila uvivu wa kusoma na kutaka shortcut ndio ilinifanya nikaacha self-trading nikaenda kununua signal kitu ambacho kilipoteza uwezo wangu wa kulielewa soko.

Funzo: Trading ni safari ya mtu mmoja Yaani unaweza kufanikiwa sana mkiwa wengi lakini siku ikikukuta changamoto jua kwamba utapambana nayo wewe binafsi kwasababu forex trading ni biashara inayohusisha sana person psychology and emotions kwahiyo ukishindwa kujicontrol katika hivyo vitu usitegemee kufanikiwa kwenye trading.

2. Epuka social media: Endapo unaamua kufanya trading jitahidi sana kuepuka social media, hizi social media zinajaza pressure sana na ndio zinaharibu psychology ya watu na mtu akishaharibika kisaikolojia anakuwa emotions na hizi emotions ndizo zinamfanya mtu afanye maamuzi yasiyo sahihi mfano Over trading, Greedy na kubwa zaidi ni kujaribu kuwaproove watu kwamba you make profit on trading.
Binafsi kabla sijakutana na Uzi wa Sirjeff nilikua naona trading ni kitu Cha kawaida tuu ila Sasa baada ya kusoma Uzi wake na pia nikaanza kutafutatafuta watu wanaotrade hasa wasauzi ndio nikajikuta nimeweka hizo lot size za 30😂😂. Lakini pia nikaanza kutamani nitengeneze Hela kubwa namimi nianze kuzurula duniani.

2. USHAURI

Huu ushauri ni kutakana na uzoefu wangu kama nilivyoelezea hapo awali, hivyo utapima mwenyewe kama utachukua au utauacha.

Moja kutokana na maelezo Yako nikwambie tuu kwamba ukituliza AKILI na ukaamua kufanya forex kama biashara bhasi utatengeneza fedha zaidi hata ya huyo jamaa ako uliyemshangaa kutaka kufikisha 1 milioni usd kwasababu zifuatazo-
Hufanyi forex kutafuta Hela ya kula, vijana wengi bongo wanafanya forex kutafuta Hela ya kula at the same time wanataka kutajirika, hii kitu haipogi katika Dunia hii iliyoumbwa na Mungu, Kila jambo linahatua zake, ukishavuka kutafuta Hela ya kula ndio unaanza kuwekeza bhana, kuwekeza Hela ya kula ni kujitia presha tuu🤣 ukiona trade ipo kwenye negative unakata ili loss isiwe kubwa💔

Tayari unaexposure, kitendo Cha kuwepo nchi za wenzetu ni exposure kubwa sana, so unakuja huna pressure kama sisi huku mara usikie maandamano, sijui tudai katiba mpya, mwisho umeme sijui ukatike mara urudi🤣🤣🤣 Yaani mambo mengi na muda HAITOSHI.

Kipato Cha uhakika, hili ni muhimu sana kwenye kujifunza trading maana hata ukipoteza kiasi Fulani unajua ninachokipato Cha ziada Cha kurecover the gap.

Twende kwenye ushauri,

1. Pata normal knowledge ya forex, hapa anza kujifunza vitu common mfano Pair(Major&Minor), Lot size, chart( bar graph, candlestick and line graph....... Ni muhimu sana kujifunza hivi vitu mapema) news and it's impact on trading.

2. Jifunze trading psychology kabla ya kuanza kutrade, ingia YouTube sikiliza video hata kumi zinazozungumzia psychology alafu jifunze kumaster emotion zako pale unapoaanza kutrade.

3. Huu ni ukweli ambao wengi hamuambiwi wakati wa kujifunza trade, FOREX IS A GAME OF MANIPULATION. Hili ni lazima ulijue na unapojifunza forex ni lazima uweke akilini kwamba kwenye huu mchezo naingia kupambana na watu wenye mitaji mikubwa na wenye AKILI kubwa pia kwahiyo namimi ni lazima nijiweke kwenye akili kubwa.

Hapa itakusaidia pale unapojifunza usikariri maana watu wengi wanakariri kwamba chart ikiwa hivi bhasi kitatokea kile😂😂😂. Hapa wengi ndio huwa tunapigwa za uso huu ni mchezo manipulation market inaweza kwenda pips 200 alafu ikarudi kufill gap ililoliacha wiki iliyopita😂👐 wewe unajua trend imebadilika, unapobadilika na soko nalo linabadilika🤣🤣🤣💔 hapo ndio utajua haujui.

4. Jifunze kuhusu

SUPPORT and RESISTANCE....... Market inamove kufuatia hivi vitu viwili tuu, wengine huita SUPPLY and DEMAND. wengine huita LIQUIDITY and BREAK OF STRUCTURE

Katika support and resistance Kuna kitu huitwa FAIR VALUE GAP (FVG), LIQUIDITY IMBALANCE and LIQUIDITY SWEEP.

Hivi vitu vyote ili kuvielewa ni lazima uelewe CANDLESTICK, kwenye candlestick Kuna wick's, body, open and closer. Ukielewa vizuri hapo ni rahisi sana kuzielewa chart.

Mwisho jifunze

TREND LINES, PATTERN'S, CORRECTION, TIMEFRAME AND TREND REVERSAL. Hapa ni muhimu kujifunza ili upate kujua entry point zako, take profit zako na sehemu ya kuweka stop loss. Yaani hizi ndizo sehemu za kufanya analysis na kutokea humu ndio utapata entry, stop loss na take profit

Lastly, ukijifunza hayo yote, chagua strategy Yako Sasa, kama unataka kuwa scalper, day trader au position trader ni wewe tuu na uamuzi wako. Uwezo wako wakuvumilia sokoni ndio unakufanya uwe scalper, day trader au position trader.

Strategy ni mkakati wako binafsi kwamba Mimi naingia sokoni natafuta pips 300 stop loss naweka pips 100. Keeps on your strategy and focus on self grow.
Ukiona umepata loss Rudi kwenye chart angalia market ilifikia wapi? Ilifuata F.V.G? LIQUIDITY IMBALANCE? LIQUIDITY SWEEP? au ni CHANGE OF TREND? Then rudi kwenye strategy Yako and focus on it.

5. Kuhusu mtaji wako

Ukifuata hatua zote na ukifikia kwenye strategy ndio itaamua unataka uwe unatengeneza Dola ngapi? Kwa siku, wiki au mwezi.

Strategy Yako ndio itakuambia uwe unarisk kiasi gani ili kupata unachotaka. Ila ukianza kwa kuthaminisha mtaji na kiasi unachotaka utakua unabet kwenye forex kitu ambacho hata ukiweka Dola billion zote zitapotea tuu.

Hili ni darasa tosha na nimeandika sana, ukipendezwa na darasa hili usiwe mchoyo wa fadhila.

Fanya muamala hapa

0740043640 M-PESA
RAYMOND KI...AVA
Mkuu Salute sana haKika umetoa zaidi ya darasa hapa. Najipongeza kwa kuendelea kusoma comment kwa comment hadi kufikia kwenye hii Masterclass 🙏
 
Ingia mtandaoni tafuta mechi moja yenye uwezo mkubwa kupata draw (tumia Ai kuuliza kama wewe mvivu, mwambie akupe mechi moja tu yenye high posibility ya kutoa draw kwa siku hiyo). Ukitumia utaratobu huu uwezi kukosa mara tano mfululizo..

Mara nyingi odds zake ni 3.24 hadi 3.37, nini cha kufanya?

Day one mfano weka
50, 000/= inamaana utapata 150,000 ukikosa

Day two weka tena
50,000/= inamaana utapata 150,000/=
hapo kama ulikosa day one inamaana faida ya leo itakua imefidia hadi ya jana, ikitokea day one na two umekosa

Day three weka
100,000 hapo utapata 300,000
Ambayo inafidia hela uliyo weka siku zote tatu na faida ya laki juu..
Day four hivohvo kikubwa utenge mtaji wako ukae pembeni.

Ukitaka kuamini nnacho kwambia wewe tafta daftari utafte hiyo mechi yenye uwezo mkubwa wa kudraw kwa siku hiyo anza kurekodi kabla ujaanza kubeti alafu utaniambia.
Upo sahihi sana
 
Back
Top Bottom