Kumbe unazungumzia KIHARUSI FM hawana lolote hao Ma.vi Tu... Na huyo Mpoto wamemfanya kibaraka wao
Mwambie mzee wa furusa aka yahaya asuruhishe ugomvi wa Rayc1982 na Zamaradimketema.
====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
Kumbe unazungumzia KIHARUSI FM hawana lolote hao Ma.vi Tu... Na huyo Mpoto wamemfanya kibaraka wao
Duh! Hivi kumbe hata kwenye jukwaa hili haya yapo? Nilidhani yanaishia kwenye Majukwaa ya Elimu na MUM!
Duh! Hivi kumbe hata kwenye jukwaa hili haya yapo? Nilidhani yanaishia kwenye Majukwaa ya Elimu na MUM!
Wana jamvi binafsi kwanza nawakubali sana watu wa clouds media,jamaa wanajitahidi sana kwa ubunifu.
Sasa tunajua ni msimu wa tamasha kubwa la fiesta 2013 unaendelea,napenda idea yao ya kabla ya burudani ya mziki sehemu husika wanapoanza na soka bonanza kisha kufanya kama semina kuhusu fursa katika eneo husika na kukamilisha na burudani ya jukwaani.mi naomba tu kupata mawazo na michango kwa waliohudhuria kwenye semina hizi za fursa atupatie yanayojiri huko labda nasi tutajifunza vitu kadhaa,nawasilisha
Acha kuhadaa watu hapa,,,,Jamaa wako vizuri sana,kuna Ruge Mutahaba,Nick wa Pili,Mrisho Mpoto,Mkuliwa,wataalamu kutoka PTSI.PSI,NSSF,MAX MALIPO NA Makampuni mengine zaidi ya kumi,wanafundisha watu kubadilika kifikra na namna wanavyofikiri na hatimae kutenda,wanawaasa watu kuyatazama matatizo kama changamoto ambazo zaweza kugeuzwa kuwa fursa,kila mkoa wanaopita huwaeleza watu fursa zilizopo ktk mazingira yao husika na namna ya kunufaika nazo,wako vizuri kwa kweli wanaowabeza huenda hawajafunguka kifikra na kushindwa kuona kazi kubwa wanayoifanya watu hawa.BADALA YA KUWABEZA TUWAPE MOYO WASONGE MBELE,TUACHE ROHO ZA KWANINI JAMANI,SISI NI WATOTO WA BABA MMOJA TUPENDANE JAMANI.
Mwambie mzee wa furusa aka yahaya asuruhishe ugomvi wa Rayc1982 na Zamaradimketema.
====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
Jamaa wako vizuri sana,kuna Ruge Mutahaba,Nick wa Pili,Mrisho Mpoto,Mkuliwa,wataalamu kutoka PTSI.PSI,NSSF,MAX MALIPO NA Makampuni mengine zaidi ya kumi,wanafundisha watu kubadilika kifikra na namna wanavyofikiri na hatimae kutenda,wanawaasa watu kuyatazama matatizo kama changamoto ambazo zaweza kugeuzwa kuwa fursa,kila mkoa wanaopita huwaeleza watu fursa zilizopo ktk mazingira yao husika na namna ya kunufaika nazo,wako vizuri kwa kweli wanaowabeza huenda hawajafunguka kifikra na kushindwa kuona kazi kubwa wanayoifanya watu hawa.BADALA YA KUWABEZA TUWAPE MOYO WASONGE MBELE,TUACHE ROHO ZA KWANINI JAMANI,SISI NI WATOTO WA BABA MMOJA TUPENDANE JAMANI.
kwa hili management ya clouds iko vizur kuhamasisha wananchi kutumia resources walizonazo kwa manufaa yao na ujasiliamali,kuform groups ili kupata access za mikopo kutoka asasi za kifedha hivo idea waliyokuja nayo ya kukamata fursa itasaidia kuwa inspire vijana na wajasilia mali wadogo wadogo kujishughulisha zaid na zaid
kama unaish dar nenda mikocheni
Acha kuhadaa watu hapa,,,,
tutajie baba yetu,,,kila mtu ana babake
hehehehheheeee,,,,,,,,umenchekesha sana,na hawa woote wameoneshwa fursa