Kamata fursa twende zetu inanini huko ndani?

10Shoka14

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
305
Reaction score
122
Wana jamvi binafsi kwanza nawakubali sana watu wa clouds media,jamaa wanajitahidi sana kwa ubunifu.
Sasa tunajua ni msimu wa tamasha kubwa la fiesta 2013 unaendelea,napenda idea yao ya kabla ya burudani ya mziki sehemu husika wanapoanza na soka bonanza kisha kufanya kama semina kuhusu fursa katika eneo husika na kukamilisha na burudani ya jukwaani.mi naomba tu kupata mawazo na michango kwa waliohudhuria kwenye semina hizi za fursa atupatie yanayojiri huko labda nasi tutajifunza vitu kadhaa,nawasilisha
 
Kumbe unazungumzia KIHARUSI FM hawana lolote hao Ma.vi Tu... Na huyo Mpoto wamemfanya kibaraka wao
 
Mwambie mzee wa furusa aka yahaya asuruhishe ugomvi wa Rayc1982 na Zamaradimketema.

====================
Ukipata Ujumbe wa Chuki Matusi Futa Delete Kabisa.
====================
 
Kumbe unazungumzia KIHARUSI FM hawana lolote hao Ma.vi Tu... Na huyo Mpoto wamemfanya kibaraka wao

Haya ndo yanacost watz wengi tunatamzama mambo kimtazamo hasi zaidi,lugha zisizo na staha za nini ukikuta post haukubaliani nayo kwanini usitafute unazokubaliana nazo,mwisho wasiku unaonekana unachuki binafsi na umejidharaulisha mbaya.Awazavyo mtu nafsini mwake ndivyo ...........
 
Duh! Hivi kumbe hata kwenye jukwaa hili haya yapo? Nilidhani yanaishia kwenye Majukwaa ya Elimu na MUM!

Nashukuru kama umeliona hili na wewe ndg Mahina,kama vipi bado sijapata jibu bado kutoka kwa wadau tunawasubiri.
 
Jamaa wako vizuri sana,kuna Ruge Mutahaba,Nick wa Pili,Mrisho Mpoto,Mkuliwa,wataalamu kutoka PTSI.PSI,NSSF,MAX MALIPO NA Makampuni mengine zaidi ya kumi,wanafundisha watu kubadilika kifikra na namna wanavyofikiri na hatimae kutenda,wanawaasa watu kuyatazama matatizo kama changamoto ambazo zaweza kugeuzwa kuwa fursa,kila mkoa wanaopita huwaeleza watu fursa zilizopo ktk mazingira yao husika na namna ya kunufaika nazo,wako vizuri kwa kweli wanaowabeza huenda hawajafunguka kifikra na kushindwa kuona kazi kubwa wanayoifanya watu hawa.BADALA YA KUWABEZA TUWAPE MOYO WASONGE MBELE,TUACHE ROHO ZA KWANINI JAMANI,SISI NI WATOTO WA BABA MMOJA TUPENDANE JAMANI.
 
Wana jamvi binafsi kwanza nawakubali sana watu wa clouds media,jamaa wanajitahidi sana kwa ubunifu.
Sasa tunajua ni msimu wa tamasha kubwa la fiesta 2013 unaendelea,napenda idea yao ya kabla ya burudani ya mziki sehemu husika wanapoanza na soka bonanza kisha kufanya kama semina kuhusu fursa katika eneo husika na kukamilisha na burudani ya jukwaani.mi naomba tu kupata mawazo na michango kwa waliohudhuria kwenye semina hizi za fursa atupatie yanayojiri huko labda nasi tutajifunza vitu kadhaa,nawasilisha

kama unaish dar nenda mikocheni
 
Jamaa wako vizuri sana,kuna Ruge Mutahaba,Nick wa Pili,Mrisho Mpoto,Mkuliwa,wataalamu kutoka PTSI.PSI,NSSF,MAX MALIPO NA Makampuni mengine zaidi ya kumi,wanafundisha watu kubadilika kifikra na namna wanavyofikiri na hatimae kutenda,wanawaasa watu kuyatazama matatizo kama changamoto ambazo zaweza kugeuzwa kuwa fursa,kila mkoa wanaopita huwaeleza watu fursa zilizopo ktk mazingira yao husika na namna ya kunufaika nazo,wako vizuri kwa kweli wanaowabeza huenda hawajafunguka kifikra na kushindwa kuona kazi kubwa wanayoifanya watu hawa.BADALA YA KUWABEZA TUWAPE MOYO WASONGE MBELE,TUACHE ROHO ZA KWANINI JAMANI,SISI NI WATOTO WA BABA MMOJA TUPENDANE JAMANI.
Acha kuhadaa watu hapa,,,,
tutajie baba yetu,,,kila mtu ana babake
 
kwa hili management ya clouds iko vizur kuhamasisha wananchi kutumia resources walizonazo kwa manufaa yao na ujasiliamali,kuform groups ili kupata access za mikopo kutoka asasi za kifedha hivo idea waliyokuja nayo ya kukamata fursa itasaidia kuwa inspire vijana na wajasilia mali wadogo wadogo kujishughulisha zaid na zaid
 
Nashukuru sana kwa taarifa hii na bila shaka kama unapua za kunusa fursa basi ukiongezewa na wengine inakuwa njema zaidi kwani two heads are better than one.Narudia kusema asante sana mkuu na unaonesha wewe ukihudhuria semina unauwezo wa kupick wanachoachilia waseminishaji.Nafikiri kwa wanaojua gharama za semina hizi kama zingekuwa zinatozwa kiingilio wanaweza jua na kufahamu mchango wanaotoa clouds media group wakiwa na team ambayo wanajitahidi kufungua ufahamu wa jamii kwa kiasi flani kwa wale walio tayari.Nawapongeza sana na nnakushukuru ulietoa haya majibu,asante sana.
 
kwa hili management ya clouds iko vizur kuhamasisha wananchi kutumia resources walizonazo kwa manufaa yao na ujasiliamali,kuform groups ili kupata access za mikopo kutoka asasi za kifedha hivo idea waliyokuja nayo ya kukamata fursa itasaidia kuwa inspire vijana na wajasilia mali wadogo wadogo kujishughulisha zaid na zaid

NAKUSHUKURU NDUG NAWE UMEONGEZA KITU BAADA YA KULETA MAJIBU ULIYOYALETA,NA KWA WALE WENYE TABIA ZA KUBEZA WATU WALIOFANIKIWA KTK JAMBO FLAN AU WANAOJITAHIDI KUFANIKISHA JAMBO FLANI KTK JAMII NAWAACHIA QUOTE HII LABDA ITAWASAIDIA KUFIKIRI NA KUJIREKEBISHA, "The people who have achieved more than you, in any area, are only a half-step ahead of you in time. Bless them and praise their gifts, and bless and praise your own. The world would be less rich without their contributions, and it would be less rich without yours. There's more than room for everyone; in fact, there's a need for everyone."
 
kama unaish dar nenda mikocheni

then nikienda mikochen ndo inakuwa nn.matamasha yanafanyika mikoani semina zinafanyika huko huko mikoani,kidogo ungekuwa umesema kitu kama ungesema watakapokuja dar nikahudhurie kwenye semina yao,otherwise kwenda mikochen siyo suluhisho,cheki post ya albt na mtanzania inakitu kinaweza kukuonesha nn nilikuwa nategemea kupata toka kwa wadau na kimepatikana.
Hii ndo jf period.
 
hehehehheheeee,,,,,,,,umenchekesha sana,na hawa woote wameoneshwa fursa

there are three types of people on this planet:
1.those make things happen
2.those that watch things happening
3.those that don't know what is happening
just choose in which type do you fit tightly.
 
Naona siku hizi bibi zetu wanachezeshwa kiduku kwenye TV - Bibi Bomba.
 
Back
Top Bottom