Wana jamvi binafsi kwanza nawakubali sana watu wa clouds media,jamaa wanajitahidi sana kwa ubunifu.
Sasa tunajua ni msimu wa tamasha kubwa la fiesta 2013 unaendelea,napenda idea yao ya kabla ya burudani ya mziki sehemu husika wanapoanza na soka bonanza kisha kufanya kama semina kuhusu fursa katika eneo husika na kukamilisha na burudani ya jukwaani.mi naomba tu kupata mawazo na michango kwa waliohudhuria kwenye semina hizi za fursa atupatie yanayojiri huko labda nasi tutajifunza vitu kadhaa,nawasilisha