Kamata fursa upige mihela fasta.

Kamata fursa upige mihela fasta.

Mr.Venture

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
1,609
Reaction score
605
Jamani kutokana na vuguvugu la katiba mpya na muundo wa muungano kuna fursa zimejitokeza anayeweza achangamkie fasta.
Iko ivi tengeneza bendera za Tanganyika za ukubwa tofauti. Print t-shirt, kofia, culture, sticker zenye bendera ya Tanganyika alaf peleka kwenye mikutano na maeneo ambayo UKAWA wanakubalika. Mkizubaa wachina watachangamkia fursa hii ya muda mfupi alaf mtabaki mnalalamika.
 
Risk yake ni CCM kupiga chini maandamano ya ukawa
 
Kazi kwenu kufanya uchambuzi yakinifu ili kuminimise risk, NOTE: "an entrepreneur should take calculated risks"
 
Msisahau na kuuza ubwabwa na juice kwny mikutano ya ukawa
 
Kutokana na mtaji wangu wa nyanya Mie naanza kuprint maneno mbalimbali kwny T-shirt eg. TANGANYIKA KWANZA. Huwezi amini ss ivi wafuasi wa UKAWA wanajiona wanaharakati sana wakivaa vi2 vinavyo reflect ujio wa serikali 3. Kamata fursa twenze2.
 
mawazo mazuri lakini yamekosa utafiti wewe unadhani hii nchi haina serikali mpaka utengeneze bendera ya tanganyika kipange upya usiwe na mawazo ya kukurupuka
 
bendera ya tanganyika unatenganeza tu..
mbona za simba na yanga watu wanatengeneza. serikali sikivu imelala
 
dah hii ni njaa si fursa then matokeo yake n mabaya kama kweli utafanikiwa
 
Poleni wadanganyika "uwoga wenu ndio umasikini wenu" kuvaa bendera ya Tanganyika co uhaini. Kama hujui hata halmashauri za wilaya zina bendera zao kama haija2ndikwa mlingotini nenda oficin kwa mkuu wa wilaya utaikuta inapepea mezani fanya utafiti.
 
mawazo mazuri lakini yamekosa utafiti wewe unadhani hii nchi haina serikali mpaka utengeneze bendera ya tanganyika kipange upya usiwe na mawazo ya kukurupuka

10258610_1449277935312104_802849440293819445_n.jpg


10310646_1449154255324472_8322505574914976180_n.jpg

Kwa maelezo zaidi nenda Tanganyika
 
Nashukuru sana LazyDog unajua natumia mchina ya 30elfu kwaiyo nashindwa kuweka vitu km picha. Eti watu wanaogopa kuvaa vitu vyenye bendera ya Tanganyika lakini wanavaa bendera za USA.
 
Back
Top Bottom