Mr.Venture
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 1,609
- 605
Jamani kutokana na vuguvugu la katiba mpya na muundo wa muungano kuna fursa zimejitokeza anayeweza achangamkie fasta.
Iko ivi tengeneza bendera za Tanganyika za ukubwa tofauti. Print t-shirt, kofia, culture, sticker zenye bendera ya Tanganyika alaf peleka kwenye mikutano na maeneo ambayo UKAWA wanakubalika. Mkizubaa wachina watachangamkia fursa hii ya muda mfupi alaf mtabaki mnalalamika.