Kamata kamata isiyo ya haki inayoendelea italeta maafa. Tujiepushe

Kamata kamata isiyo ya haki inayoendelea italeta maafa. Tujiepushe

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
IGP Wambura amejikita kwa taaluma yake ya TISS kuhakikisha jeshi la polisi linazima kila sauti inayohoji madudu ya mtawala.

Pia wapo wananchi ambao wamechoshwa na dhuluma wanazofanyiwa lakini majibu ya kero hizo ni kuswekwa mahabusu

Kamata kamata ya kimya kimya inaendelea.

Serikali ijiepushe na hili. Kwani maafa hayapo mbali sana.. msongamano, mgongano, hasira na kuchoshwa vitafikia kiwango kisichoweza kuvumilika.

Mungu atuepushe.
 
Back
Top Bottom