Mr. Miela
JF-Expert Member
- Aug 2, 2007
- 1,254
- 2,121
Zinapendeza...... askari atupendi vitu vizuri3D plate numbers ina tatizo gani? Sioni tatizo lolote, nadhani kuna haja ya polisi kupewa semina
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinapendeza...... askari atupendi vitu vizuri3D plate numbers ina tatizo gani? Sioni tatizo lolote, nadhani kuna haja ya polisi kupewa semina
Uoni au uono unaweza kuwa hafifu na kusababisha ajaliTinted ya taa ina shida gani?
Mkuu kwani wewe ulivyotoka kiwandani ulikua hivyo ulivyo....?
Umelala kitandan kwa mume wa dada yako unaandika upumbav... Haya njoo umevaa shanga ili ujue kama ninalo au sinaUnaeza kuta hata gari huna.
Punguani dingi yako ninaye mtoa marinda kilasiku ili wewe uishiWewe ndo punguani kabisaa badala ya kuelezea athari za kuweka 3D unakuja na hoja mfilisi kbs,kwaiyo mtu asipendezeshe gari kisa ana passo,ingekuwa ivyo bs car accessories zingekuwa za brand cars only! Idiot
Lile cover LA nje kwenye taa ya Gari likiloa na maji huku balbu ikiwaka linapata ukungu..Hivi taa ya gari unaiwekea tinted ili iweje?
Inawezekana kabisaZile namba hazitengenezwi na yale makampuni kama autocar, masasi na mengine yanayoshinda tenda na kupewa ubora na tbs. Zile namba zinabandikwa kwenye vibati vya hayo makampuni na hutengenezwa mitaani. Ukute kina masasi na autocar wamepigwa bao kiteknolojia ikabidi wasage kunguni kwa kuwa wao ndio hupewa tenda ya kutengeneza plate number
Sidhani km hyo ni hoja ya msingi labda Kuna nyingine, maana hata hizi Namba za kawaida unaweza fungua na kufunga nyingineSiwatetei polisi ila hizi 3D hazina ubora, zinabanduka hivyo wahalifu wanaweza kutumia huu mwanya kubandika namba feki wakati wa matukio yao.
Hizi ni ajira kwa vijana wanaoprint hizo namba serikali imeshondwa kuajiri watu wakijiajiri napo shida Mama Samia na CCM yako kumbuka muda si mrefu mtakuja kutuomba kura tena sasa sijui mtatueleza kwanini ni kosa kuboresha plate number za magari zionekane vizuri lakini kuuza bandari ya Nchi bila ridhaa ya wenye nchi ni uwekezajiKwani kufanya biashara kwa kutengeneza 3D plate numbers ni dhambi? Ebu waacheni wananchi nyie, mtawachosha kupita kiasi
Ufafanuzi kidg hapo kwenye 3d number plates zinahatarisha vp usalama
Zinapita juu ya ile migongo ya nambaMfahamu pia number plates zimetengenezwa in such a way that haziungui kirahisi. Yaani gari yaweza Waka moto lakini yale maandishi yaliyotuna yakawa yanasomeka vizuri tu. Kitu ambacho kwa hizi 3d sidhani kama zina ubora huo.
Nahisi nimeelewa kwa point hiii kwenye swala la namba.Mfahamu pia number plates zimetengenezwa in such a way that haziungui kirahisi. Yaani gari yaweza Waka moto lakini yale maandishi yaliyotuna yakawa yanasomeka vizuri tu. Kitu ambacho kwa hizi 3d sidhani kama zina ubora huo.
Mkuu, si waweke transparent/isiyo na rangi kama kioo cha taa ya gari?Lile cover LA nje kwenye taa ya Gari likiloa na maji huku balbu ikiwaka linapata ukungu..
Hali hii ikiendelea kwa Muda mrefu taa zinapoteza mng'ao na kutoa mwanga hafifu,
Ili kuzuia Hali hii isitokee ndio maana wanaweka sticker,
Inakuwa kama protector kwenye simu