Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Habari zenu wanajukwaa,
Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba.
Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga.
Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya maliasili vyenye idadi ya mzigo ulionao kama kibali unacho na kinaonyesha gunia let say 5 na wewe una gunia 25 ujue 20 zote wanakomba, pia wanataka kibali cha ushuru wa halmashauri kama hauna ujue hauna bahati wanakomba store nzima.