Chief Wingia
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 2,653
- 4,744
Hii kitu mkaa, inaichafua Serikali.Habari zenu wanajukwaa
Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wanaoperation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba.
Jana wikua makongo road na Goba center leo wapo Madale road pande za Marga.
Aisee hatakama ni sheria hii ni too much jamaa wanataka vibali vya maliasili vyenye idadi ya mzigo ulionao kama kibali unacho na kinaonyesha gunia let say 5 na wewe una gunia 25 ujue 20 zote wanakomba, pia wanataka kibali cha ushuru wa halmashauri kama hauna ujue hauna bahati wanakomba store nzima.
Kwahiyo unaunga mkono huu unyang'anyi hapa suala la msingi ni kudhibiti hukohuko kwenye misitu na kwa wabebaji tu sio mfanyabiashara wa huku chini mtaaniNchi umegeuka jangwa kwasababu ya wakata mkaa na ufugaji wa kienyeji.
Miaka ya 90 kurudi nyuma ukisafiri kutoka dar kwenda iringa ulikuwa unafurahia madhari nzuri ila sasa ni km jangwa tu.
Nikiwemo na mimi aiseeSisi wabongo waoga alafu wapole sana nikiwemo na mimi pia.
Sasa ndugu unakuta mama wa watu pesa ya kukusanya mzigo kakopa kikoba ana rejeshi kila wiki hiyo hongo anatoa wapiWapeni hela aka hongo wataondoka zao tu maisha yataendelea
Hapo wanatafuta njia tu wale hela
Hamna lolote....
Ova
Yeah tunaishia kulalama humu wakati push back hatuwezi, hii operation ni haramu na kinachotumika hapo na nguvu za dola ,uoga wetu wa kizuzu umekua upumbavuSisi wabongo waoga alafu wapole sana nikiwemo na mimi pia.
Hawaachi hela hao hata 3000,4000 wanachkua mkuu wana njaa sana haoSasa ndugu unakuta mama wa watu pesa ya kukusanya mzigo kakopa kikoba ana rejeshi kila wiki hiyo hongo anatoa wapi
Gharama zake zipoje mkuu?? Huenda ni aghali au upTikanaji ni shidaKuna mikaa ya kupikia inatokana na uchafu wa jikoni Lakin watu hawana Muda nayo. Hii nchi hii uozo mtupu
Kama hakutakuwa na wanunuzi,, wakata Mkaa wataacha. Mkaa ndo cheapest affordable fuel. Unapimiwa kuanzia 500tsh.Nchi umegeuka jangwa kwasababu ya wakata mkaa na ufugaji wa kienyeji.
Miaka ya 90 kurudi nyuma ukisafiri kutoka dar kwenda iringa ulikuwa unafurahia madhari nzuri ila sasa ni km jangwa tu.
Uharibifu wa mazingira unauona kwenye mkaa tu, kwenye uchimambaji wa madini hauoni kabisaa.Nchi umegeuka jangwa kwasababu ya wakata mkaa na ufugaji wa kienyeji.
Miaka ya 90 kurudi nyuma ukisafiri kutoka dar kwenda iringa ulikuwa unafurahia madhari nzuri ila sasa ni km jangwa tu.
Washushe gesi,watatuua!Habari zenu wanajukwaa,
Aisee tokea jana pande za Goba jamaa wa maliasili wana operation kazi ya kutaifisha mkaa kwenye store za mikaa around Goba.