Kamata kamata ya mkaa na wauza mkaa kwenye stoo za wauza mkaa mjini ni uonevu

Nchi umegeuka jangwa kwasababu ya wakata mkaa na ufugaji wa kienyeji.

Miaka ya 90 kurudi nyuma ukisafiri kutoka dar kwenda iringa ulikuwa unafurahia madhari nzuri ila sasa ni km jangwa tu.
Gas iko hapa hapa, iprocessiwe ishuke bei uone kama kuna anayetaka kutumia mkaa.
Kwanza mkaa ni ghali sana kuliko gas ila ni vile mtu kutoa labda 57000 kwa wakati mmoja inakuwa ngumu
 
Hawaachi hela hao hata 3000,4000 wanachkua mkuu wana njaa sana hao

Ova
Bro sidhani kama wana njaa labda wa huko Dar .

Nimeshuhudia mara kadhaa wakiwadaka watu na pikipiki zao wanatoa mpaka milioni ila hawakubali wanabeba mzigo na pikipiki alafu wanamuacha mtuhumiwa .

Swali ni je kwanini mtuhumiwa aachiwe alafu mali zake ndiyo zichukuliwe je zinaenda wapi ?

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Duh

Ova
 
Hii habari imenistua kidogo, maana juzi nimekutana na jamaa yangu flani, anapigakazi na Msudani, Msudani amefungua stoo ya mkaa anagunia kama 600+.
Ila yupo charambe, sasa sijui anavibali vyote?
 
Je wanafuata sheria?

Kama jibu ni ndio, twende kazi.
Ila kuna mambo ukiyafikiria yanaumiza kichwa sana, unajua kuna biashara ukifanya ukiamua kufuata kila sheria, biashara unakuwa huonei maana.
Otherwise uifanye kwa ukubwa sana, ila kwa biashara zetu hizi za kudunduliza hutoboi
 
Gharama zake zipoje mkuu?? Huenda ni aghali au upTikanaji ni shida
Gharama zake sijazijua Lakini mwamko kutok kwa watu Wote Raia, Serikali na Taasis ni mdogo kabisa. Kabla ya Magufuli kufa wajasiriamali walikua wamefika sehem nzuri tu. Ninafahamiana na mmoja wao huko. Jamaa kafa na hio support imekufa
 
karibuni gunia 60 free delivery
 
Wawezeshwe waanze kuuza gas badala ya mkaa.
Huwa ninakwazika sana nikiona mtu anauza mkaa.
 
Hao matapeli tu uongozi wa nchi ukishakuwa legelege Kila mtu huwa anafanya anachotaka

Ninachojua kibali anakuwa nacho suplayer na unaweza Kuta anasambaza huo mzigo katika stoo hata 10 Sasa hicho kibali atakiwanya vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…