Kwanini tangu 2016? Na sio 2011.Ulikuwa wapi kuhoji hayo mabadiliko yapo tangu 2016
Kura za maoni wanapigiwa watatu tu waliotoka kamati kuu.Mimi bado nipo kwa hawa wenzangu wahamiaji hatma yao upone? Maana kura za maoni sidhani kuna hata mmoja anaweza penya walau kwa top ten.
Kwanini wachujwe kamati kuu baadala ya kupigiwa kura za maoni.Mimi nafikiri watia nia wanachama kwanza wanachakuwa form,baada ya kutimiza masharti wanarudisha form.
Hayo majina ya watia nia yanayopelekwa ngazi ya juu,ambapo yanachujwa na kubakiza majina matatu.
Hayo majina matatu ndio yanapigiwa Kira kumpata mmoja.
Kwanini kamati iteue? Kwanini ambao wamechukua fomu wasiachwe wachuane huko majimboni.Mi sioni ubaya,kamati itateua majina 3,then hayo majina ndo yakapigiwe kura huko jimboni,,iko sawa tu
Nadhani kunakuwa na watu wameapply,tuseme watu 20,then kamati kuu ndo wanachambua na kupata majina 3,ambayo ndo yanarudi kupigiwa kura ngazi ya jimboni,,kuliko majina yatoke chini matatu halafu kamati kuu ichague jina moja,,Kwanini kamati iteue? Kwanini ambao wamechukua fomu wasiachwe wachuane huko majimboni.
Kamati kuu inawajuaje wagombea wa majimboni, kwanini wajumbe wasiachwe wachague wenyewe.Nadhani kunakuwa na watu wameapply,tuseme watu 20,then kamati kuu ndo wanachambua na kupata majina 3,ambayo ndo yanarudi kupigiwa kura ngazi ya jimboni,,kuliko majina yatoke chini matatu halafu kamati kuu ichague jina moja,,
Utaratibu mzuri tu
Mimi bado nipo kwa hawa wenzangu wahamiaji hatma yao upone? Maana kura za maoni sidhani kuna hata mmoja anaweza penya walau kwa top ten.