tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Awamu ya wakoromije kuzidi kufilisi nchi kwa ufisadi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pigia mstari HapoKama hakutakuwa na rushwa ngazi ya jimboni na wagombea wakapita kwa haki ngazi ya jimbo, wanachama wasiporudishiwa watu wanaowapenda kwa maana ya wale wanao waona wanafaa kuwaongoza, baadaye wanachama wanaweza kukichukia chama na kupiga kura za chuki kwa wapinzani.
🤣 🤣 wahakiaji wapo watakaotoboa, kwa sababu waliowahamisha wanajua sababu zilizowabeba na kuwahamishia side BMimi bado nipo kwa hawa wenzangu wahamiaji hatma yao upone? Maana kura za maoni sidhani kuna hata mmoja anaweza penya walau kwa top ten.
Hii itakuwa poa, hivi naruhusiwa kugombea majimbo zaidi ya moja? Mfano nikagombea hai bunda na tarime?Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.
Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.
Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?
Wasipopenya watapenyezwaMimi bado nipo kwa hawa wenzangu wahamiaji hatma yao upone? Maana kura za maoni sidhani kuna hata mmoja anaweza penya walau kwa top ten.