Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Imebidi nicheke.Kwani siku hizi kuna Chama hapo au kuna familia ya MTU?
Mwalimu aliko labda analia machozi, Mkapa na JK wanatoa macho hawaamini kinacho endelea.
Maana haiwezekani juhudi zote zile za kukipigania chama zimeishia kuwa mfukoni kwa MTU ambaye hajawahi kukipigania hata TANU youth league au UVCCM haijui