Uchaguzi 2020 Kamati Kuu CCM kuteua wagombea watatu (03) ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika

Uchaguzi 2020 Kamati Kuu CCM kuteua wagombea watatu (03) ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika

Kwa kweli huu mfumo nimeupenda naamini serikali na bunge lijalo litapata viongoz wa zuri sana wenye nia ya kutumikia wananchi na taifa. Naamini mafisadi na wala rushwa hawatapenya nina hakika hawatapenya.
 
Kamati kuu,itapitia application nyingi,then wanachuja mpaka 3,then hizo tatu,zinarudi Sasa chini kea wajumbe kupigia kura,,hii advantage yake Ni kuwa endapo Kama kuu itapeleka majina tofauti na yanayopendwa na wajumbe,Kuna hatari wasipigiwe kura,ama kukazuia malalamiko ya wajumbe,then wakilazimisha jina,maana yake wanaopendwa wanaweza kwenda cdm,act etc na watapata kura na kuwa wabunge,
Hii ndo maana upinzani hawana haraka ya kuruhusu mbio za ubunge zianze kwao,
Kwahiyo wapinzani wanasubiria makapi toka CCM?
 
Kamati kuu inawajuaje wagombea wa majimboni, kwanini wajumbe wasiachwe wachague wenyewe.
Mbona unauliza maswali ya mtoto wa darasa la kwanza ndugu..kamati za siasa za wilaya na mkoa zitatoa maoni yao dhidi ya wagombea, ushiriki wao kwa chama, ujuzi, maarifa nk..kwa mtu mwenye sharp mind hata akisoma tu wasifu wa mtu bila kumuona na maelezo mafupi ya kwa nini anaomba kukiwakilisha chama kugombea atafahamu yupi ni bora zaidi ya wengine..lakini sifa za wagombea potential zimetajwa mara nyingi..unauliza maswali ya kizembe kabisa, ni kama akili imekariri kitu kimoja tu kwamba kamati kuu itateua mgombea..think widely!!
 
Mimi nafikiri watia nia wanachama kwanza wanachakuwa form,baada ya kutimiza masharti wanarudisha form.
Hayo majina ya watia nia yanayopelekwa ngazi ya juu,ambapo yanachujwa na kubakiza majina matatu.
Hayo majina matatu ndio yanapigiwa kura kumpata mmoja.

Hii ni dhana ya democratic centralism enzi za Ukomunisti
 
Na post ya uraisi kwa ccm itakuwa ivyo?? Duh namuona jiwe akibatilisha matokeo asubui tu
Nimeona mchakato wa kuwapata wagombea ubunge ndani ya CCM kwa mwaka huu itakuwa tofauti, ambapo kamati kuu itateua wagombea watatu (03)ambao watapigiwa kura wajumbe wa jimbo husika.

Inakuaje kamati kuu iteue baadala ya kuwaachia wajumbe ambao wao ndio wanawajua wagombea wao.

Hakuna harufu ya uteuzi wa wapendwa wa mwenye Chama?
 
Acha kanuni ifanye kazi kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe
 
Mimi nafikiri watia nia wanachama kwanza wanachakuwa form,baada ya kutimiza masharti wanarudisha form.
Hayo majina ya watia nia yanayopelekwa ngazi ya juu,ambapo yanachujwa na kubakiza majina matatu.
Hayo majina matatu ndio yanapigiwa kura kumpata mmoja.
Chama kimenyang'anya mamlaka wanachama haki ya kuchaguliwa na haki ya kuchagua.

Uongozi wa kisiasa ni muhimu upitie michakato ya uchaguzi huru na za kidemokrasia.
 
Chama kimenyang'anya mamlaka wanachama haki ya kuchaguliwa na haki ya kuchagua.

Uongozi wa kisiasa ni muhimu upitie michakato ya uchaguzi huru na za kidemokrasia.
Democracy is not a bottle of coca cola which you can import..democracy should develop according to that particular country..
 
Democracy is not a bottle of coca cola which you can import..democracy should develop according to that particular country..
Hiyo ya ccm ya sasa siyo democracy tena.

Maana sasa wanachama hawana tena haki ya chaguo.
 
Democracy is not a bottle of coca cola which you can import..democracy should develop according to that particular country..
Unaijua democracy au unaongea tu kwa sababu unaweza kuongea ?
 
Unaijua democracy au unaongea tu kwa sababu unaweza kuongea ?
Ilazimishe akili yako ifikiri kwa kina maandishi hayo..hata kama ni dhaifu, hiyo democracy unayoijua wewe ikoje..eleza
 
Hiyo ya ccm ya sasa siyo democracy tena.

Maana sasa wanachama hawana tena haki ya chaguo.
Demokrasi inayozaa rushwa, ubaguzi na kutengeneza soko la kura wakati wa uchaguzi kwako hiyo ndio demokrasi..ipi hasa demokrasi unayotetea.
 
Back
Top Bottom