LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Lengo LA haya mabadiliko Ni kuhakikisha wale wasio upande Wa jpm wanakatwa kwanza ndipo wale waliobaki wanarudishwa ili kupigiwa kura kule chini.hata ikitokea bahati mbaya wasiompenda kapenya kwenye kura anakatwa tena na vikao vya juu.jpm na polepole wamebuni mbinu Kali sana kufyeka wasiowapenda.poleni wanaccm.Mmiliki wa chama ndie mwenye maamuzi Nani atagombea Nani asigombee,Kama we si muimba kwaya katafute kazi zingine.Kama mwenye chama ndie muamuzi wa mwisho wahamiaji haramu wote ndani asilia wao waendelee kusugua mabenchi tu.