Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

Kamati kuu CCM yamtosa Hussein Bashe, adaiwa si raia wa Tanzania

Watu mnapenda visa aiseh
Ni noma sana maisha haya
 
Chama hakuna hata succession plan halafu kuna watu bado wanajitapa chama kina wenyewe .... Siku hizi kila awamu inawenyewe!!
 
Wenyewe ni Yale Majizi aliyoyasema Pole pole kuwa anatamani kuyakamata but anaogopa wakubwa

Kitochi Original
 
Back
Top Bottom