Ilimsaidia kufuata utaratibu wa kuwa raia au humsikii Chiligati kwenye hiyo audio? Leo angekuwa Mbunge?Kivipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilimsaidia kufuata utaratibu wa kuwa raia au humsikii Chiligati kwenye hiyo audio? Leo angekuwa Mbunge?Kivipi
Kama hujui Bashe aliikosoa nini serikali huku umekuja kufanya nini?kwani Bashe aliikosea nini Serikali? Hata wewe muuza maji ukitiliwa shaka utahojiwa tu
mkuu kuna tofauti gani kati ya wawili hao? Au hata wewe raia wa kawaida na Askofu mna tofauti gani linapokuja suaa la Uraia?We boya sana...unamfanisha Askof na Bashe?
Kama vile unajibu majibu mawili swali moja,jibu lako la awali haliendani na hayo maelezo..mfano wewe taratibu gani unazifata kuwa raia wa nchi hii ???Ilimsaidia kufuata utaratibu wa kuwa raia au humsikii Chiligati kwenye hiyo audio? Leo angekuwa Mbunge?
inaonekana hujamuelewa na Jinome. Ukisikiliza vizuri audio, Bashe hakuwa raia wa kuzaliwa wala kujiandikisha, hivyo alipaswa kufuata utaratibu wa kuwa raia, sasa ukiuliza taratibu gani zinatakiwa kufuatwa hata kwa mzawa, unaleta siasaKama vile unajibu majibu mawili swali moja,jibu lako la awali haliendani na hayo maelezo..mfano wewe taratibu gani unazifata kuwa raia wa nchi hii ???
Acha na Makarai ya zege hayo yamedandia mada.inaonekana hujamuelewa na Jinome. Ukisikiliza vizuri audio, Bashe hakuwa raia wa kuzaliwa wala kujiandikisha, hivyo alipaswa kufuata utaratibu wa kuwa raia, sasa ukiuliza taratibu gani zinatakiwa kufuatwa hata kwa mzawa, unaleta siasa
Unataka kuaminisha wana JF kuwa wako humu kujua nani alifanya nini? Kweli karai la zege. Ningekuwa Trump2 ningekutukana.Kama hujui Bashe aliikosoa nini serikali huku umekuja kufanya nini?
Bora umenisaidia kulijibu hilo KaraiUnataka kuaminisha wana JF kuwa wako humu kujua nani alifanya nini? Kweli karai la zege. Ningekuwa Trump2 ningekutukana.
Mpumbavu yeyote silaha yake juu ni matusi, unaweza kutukana kwa niaba yake haina Shida.Unataka kuaminisha wana JF kuwa wako humu kujua nani alifanya nini? Kweli karai la zege. Ningekuwa Trump2 ningekutukana.
Usitukane,inawezekana ufahamu wako na wake ni tofauti,na ndio maana darasani mtihani wengine wanapata 100 na wengine 0 lkn wote mmefundishwa na mwalimu mmoja.We boya sana...unamfanisha Askof na Bashe?
Mkuu upoooo vp umeshavuna gunia ngapi nikusaidie sokoo ya Wizkid!???Ndugu wawili wanapogombana, wewe chukua jembe ukalime. Watakapopatana watakukuta wewe tayari unavuna wakati wao hawana cha kuvuna, ndipo watatambua ujinga wao.
Njoo tule pamoja ndugu yangu. Mimi niliwaacha wagombane nikijuwa watapatana tu, sikutaka wanipotezee muda wangu. Sasa nina magunia zaidi tani 500Mkuu upoooo vp umeshavuna gunia ngapi nikusaidie sokoo ya Wizkid!???